Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Yani mtaani kwenu ambako ndio wanajua tabia yako wameshindwa kukuoa unakuja kutafuta humu
 
swahiba mbao za mawe njoo huu uzi we ndo kuboko taken[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umetoa povu. Buree mm sio tegemezi kuwa na adabu, ndo maana staki tegemezi, wivu tu umekujaaa huna lolote.tafuta pesa wacha kuangaika
 
Umetoa povu. Buree mm sio tegemezi kuwa na adabu, ndo maana staki tegemezi, wivu tu umekujaaa huna lolote.tafuta pesa wacha kuangaika
Ukiona hivyo maneno imeingia unatafuta wanaume za watu wenye sifa kama hizo tayari wanafamilia
 
Kwa mkatholic Ndoa ni Sankranti ya makubaliano ya watu wawili mtu mme na mke kuishishi pamoja mpaka mpaka Mungu awatenganisha hiyo wito si lazima wala si kutafuta funga toa sadaka ya kweli na kusali ktk roho na kweli c lacima uolewe unaweza ukawa mtawa au ukajitolea kutumikia Mungu inge kuwa lacma Yohana ange oa Paulo ange oa au Ata Yesu Ange oa mhm ni kuokoa roho mengine ya ziada
 
Kwa sifa zote hizo unazotaka endelea tu kutumia "dildo" ndizi na tango ....wanaume hatujagi kwa wapumbavu
 
Hahaahaaaaa nadhani ukifika miaka 35+ utatia adabu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itafikia kipindi yeyote aje tu
 
Umetoa povu. Buree mm sio tegemezi kuwa na adabu, ndo maana staki tegemezi, wivu tu umekujaaa huna lolote.tafuta pesa wacha kuangaika
JF raha sana. Halafu huyo huyo akija PM kwa ID nyingine anajibebea mzigo.
 
Waulize wote walokuja pm kama kuna MTU amenibeba ahaaa si kwanza waninijue? Ahaaaa jiliwaze.ukitaka kudhibitisha njoo pm na I'd mpya nikunyooshe.
JF raha sana. Halafu huyo huyo akija PM kwa ID nyingine anajibebea mzigo.
 
Awe ni 34+ halafu asiwe ameoa wala kuwa na mtoto

Subiri mateja wabakuja maana sizani kama mwenye 34+ atakosa vyote kuowa na kua hata na mtoto pemben

Kila la kheir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…