Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

 
Inawezekana wanaume wachache au hawajui kutongoza kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaaahhhh............ kama kigezo ni idadi yao nikubwa basi ndoa za mitahara zitaongezeka siku zijazo.....
 
Mapovu yanatutoka kuona hii used spare ya miaka ya 80 nayo inachagua gari...
Kwahiyo haruhusiwi kuchagua? Hivi unaanzaje kutokuchagua mwenza wa maisha yako. Mwacheni achague jamani, yeye ndio ataeishi nae sio nyie. Kama hauna vigezo subiri wa vigezo vyako.
 
Mwanaume yeyote atakayekubali kuishi na huyu mwanamke ajiandae kuendeshwa kama gar bovuu., yan hapo utajikuta unamfulia hadi nguo ili awe msafii kama anavyotangazia sifa ya usafi..
 
Pamoja na vigezo viiingi ambavyo vingi more idealistic than realistic, mwanaume hawi msafi kupitiliza, usafi utaenda kumfanyia wewe, ukipata huyo msafi kupitiliza halafu baadae ukagundua kitu cha ajabu sana usirudi kutulilia hapa.
 
Nina sifa zote ila kasoro sina mguu wakuvaa pensi,nina miguu kama ya dogo Janja, sijui utanisaidia vp mkuu[emoji3]
 
wewe ni Bikra?Hiyo ndio sifa kubwaaa hata kimaandiko wewe upo hivyoo
 
Hivi ufupi ni ulemavu? Wembamba ni ulemavu? Na hata kama nini kasoro? Kwa ubaguzi huo tu sidhani kama mke mwema ana aina hiyo ya ubaguzi!!!
Elewa Mungu hajawahi kosea katika uumbaji.

Mafanikio mema.
 
NILISHA KUA NA WANAWAKE WA TYPE YAKO.... WASUMBUFU SANA NYIE... HAM FAI KUOLEWA SIFA ZENU NI HIZI:

1. Mna mdomo sana nyie/ ndani haku kaliki nima kelele na mizozano ya vitu vidogo. Mna nuna naku vuta mdomo siku nzima.

2. Hamjui kutunza siri za mwanaume... Mna ropoka sana nje.

3. Mna kiburi nyie....mna penda kuwa test wanaume kuona ata fanya nini..

4. Waongo/ pretenders wakubwa... Una weza kupewa hela uka ikataa kujifanya wewe sio mtu hela eti una jitegemea mwenyewe huku ukitaka kumuaminisha mwanaume kua wewe sio mtu hela hela... Kumbe una kopa nje.

5. Mmekaa kiuchuguzi/ kudadisi /kufatilia nyendo za mwanaume... Unataka kujua anaenda wapi? Anaongea na nani? Wakati mwingine hata marafiki zake huwa taki/kama sio kuwa ponda.

Aisee nina weza kumaliza siku nzima nawa chambu wanawake wa style yako...

In short to me wewe sio WIFE MATERIAL huna sifa hio... Your are a PROBLEM to any man...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…