Wa mtaani,kanisani,chuoni,kazini na kwenye magari kote amechagua akakosa ndo kaona aje kusagulasagula hizi fake IDs ndo zimfae...ukiona mtu mpaka kafikia kutafuta mtu wa kuishi nae maisha mitandaoni na bado ana masharti kama kazi za ukurugenzi kwenye mashirika ya mawasiliano ujue kuna tatizo tena kubwa sana,hili ni nung'aembe mkuu,wenye macho makali tushaona..Kwahiyo haruhusiwi kuchagua? Hivi unaanzaje kutokuchagua mwenza wa maisha yako. Mwacheni achague jamani, yeye ndio ataeishi nae sio nyie. Kama hauna vigezo subiri wa vigezo vyako.
Sasa si achague huko mtaani kwake au kazini?Hapa JF atachaguaje kama sio kuchanganyikiwa huku?Anayekuja kutafuta mchumba hapa maana yake amepunguza vigezo na yupo tayari kumpata mtu ambaye atamsaidia kubadilika. Huyu anaonekana ni perfectionist jambo ambalo litamsumbua sana na huenda ndio limemsumbua mpaka anaelekea kwenye 30's. Ndoa sio maigizo: ni vizuri kuwa realist badala ya kuwa na pipe dream.Kwahiyo haruhusiwi kuchagua? Hivi unaanzaje kutokuchagua mwenza wa maisha yako. Mwacheni achague jamani, yeye ndio ataeishi nae sio nyie. Kama hauna vigezo subiri wa vigezo vyako.
a u sure???? anyway j2 njema
thanksssssssssssssssssssssssssssssss tena saaaa huyo ulokutana nae sio mm. wewe lala upumzikeNILISHA KUA NA WANAWAKE WA TYPE YAKO.... WASUMBUFU SANA NYIE... HAM FAI KUOLEWA SIFA ZENU NI HIZI:
1. Mna mdomo sana nyie/ ndani haku kaliki nima kelele na mizozano ya vitu vidogo. Mna nuna naku vuta mdomo siku nzima.
2. Hamjui kutunza siri za mwanaume... Mna ropoka sana nje.
3. Mna kiburi nyie....mna penda kuwa test wanaume kuona ata fanya nini..
4. Waongo/ pretenders wakubwa... Una weza kupewa hela uka ikataa kujifanya wewe sio mtu hela eti una jitegemea mwenyewe huku ukitaka kumuaminisha mwanaume kua wewe sio mtu hela hela... Kumbe una kopa nje.
5. Mmekaa kiuchuguzi/ kudadisi /kufatilia nyendo za mwanaume... Unataka kujua anaenda wapi? Anaongea na nani? Wakati mwingine hata marafiki zake huwa taki/kama sio kuwa ponda.
Aisee nina weza kumaliza siku nzima nawa chambu wanawake wa style yako...
In short to me wewe sio WIFE MATERIAL huna sifa hio... Your are a PROBLEM to any man...
Unataka mume au shamba?
Utapata mrefu lakini jambazi
Utapata mfupi lakini malaya
Hakuna mwenye ukamilifu wa sifa zote hizo, hata wewe mwenyewe unamapungufu yako.
Pole sana.
thanksNami naongezea she is shittt hole woman
umesoma sentensi yangu ya kwanza? j2 njemaHuyo wa hizo sifa labda akamuumbe mwenyewe, halafu yeye hatakiwi kuchagua, anatakiwa asubiri achaguliwe, hii principle ni ya muhimu sana. Kui overlook kutamgharimu sana maisha yake.
akikuquote niambie mkuu sana sana atajifanya hajaona hii mchangoooNILISHA KUA NA WANAWAKE WA TYPE YAKO.... WASUMBUFU SANA NYIE... HAM FAI KUOLEWA SIFA ZENU NI HIZI:
1. Mna mdomo sana nyie/ ndani haku kaliki nima kelele na mizozano ya vitu vidogo. Mna nuna naku vuta mdomo siku nzima.
2. Hamjui kutunza siri za mwanaume... Mna ropoka sana nje.
3. Mna kiburi nyie....mna penda kuwa test wanaume kuona ata fanya nini..
4. Waongo/ pretenders wakubwa... Una weza kupewa hela uka ikataa kujifanya wewe sio mtu hela eti una jitegemea mwenyewe huku ukitaka kumuaminisha mwanaume kua wewe sio mtu hela hela... Kumbe una kopa nje.
5. Mmekaa kiuchuguzi/ kudadisi /kufatilia nyendo za mwanaume... Unataka kujua anaenda wapi? Anaongea na nani? Wakati mwingine hata marafiki zake huwa taki/kama sio kuwa ponda.
Aisee nina weza kumaliza siku nzima nawa chambu wanawake wa style yako...
In short to me wewe sio WIFE MATERIAL huna sifa hio... Your are a PROBLEM to any man...
Tena si ndogoKazi ipo
Labda anataka awe msafi kama James nyamvuto!!Pamoja na vigezo viiingi ambavyo vingi more idealistic than realistic, mwanaume hawi msafi kupitiliza, usafi utaenda kumfanyia wewe, ukipata huyo msafi kupitiliza halafu baadae ukagundua kitu cha ajabu sana usirudi kutulilia hapa.
You know what graduate!, you are trying to misuse the principle, you are trying to mary a man, you dont have a moral, legal, biological whatever to do that, you wait to get married, ignore this and you suffer the consekwense.thanksssssssssssssssssssssssssssssss tena saaaa huyo ulokutana nae sio mm. wewe lala upumzike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana.Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.
Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.