Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

You know what graduate!, you are trying to misuse the principle, you are trying to mary a man, you dont have a moral, legal, biological whatever to do that, you wait to get married, ignore this and you suffer the consekwense.
thanks
 
Unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja lakini pia inaweza ukawa hauko sahihi kwa upande mwingine.
Njia hii ni rahisi zaidi kumpata mwenye vigezo vyako vingi unavyovitaka,kuna mtu alielezea kuwa maisha yamebadilika hivyo mambo mengi yamebadilika, tusikariri tu.

Kuna watu ktk maisha ya nje ya mitandao sio watu wa kujichanganya sana, hivyo hawakutani na watu wengi. Kwa hiyo kukutana na mtu wa vigezo vyake ni nadra sana. Ila kwa njia hii inarahisisha.
 
Nafikiri walioweka hili jukwaa hawakukosea kabisa, hakuna shida kuwa perfectionist kama utakutana na wa kufanana nawe.

Kwako unaona ni ajabu maybe kwakuwa hauna vigezo, ila mbona ni vigezo vya kawaida tu mwanaume kuwa navyo. Na sio kwamba hakuna mwanaume asie na vigezo hivyo.

Ndoa sio lelemama, hivyo mwacheni apate watakaeendana.

Wewe kuwa na vigezo vya mkeo haimaanishi ni vigezo vya kila mwanamke.
 
thanksssssssssssssssssssssssssssssss tena saaaa huyo ulokutana nae sio mm. wewe lala upumzike
Same type tu sioni utofauti wako na wao...

Nili kua nime lala ila baada ya kuona hii post nika amka kabisa....

Una taka mwanaume alie kaa nje ya nchi.... So crazy... Hahaha! It's Funny how some women can be so complicated more than life is.

Nime kutana na type kama zako I swear it's pain in the ass....

Am sure watu wana ku avoid hata ofisini huko uliko sema why? Wana ona kabisa dating you isn't worthy doing.

Kila mtu Ana sifa anazo hitaji...ila over exaggerating of those features.... It's a clear sign you're one of those complicated women.


So be humble... A humble woman is a sweet woman to be with..

Achana na HOLLYWOOD mentality.
 
 
Nani kawaambieni mwanamke anatafuta?, mwanamke anatafutwa. Wewe unataka niwe na vigezo unavyotaka wewe kwani wewe ndio unanioa?
 
Nani kawaambieni mwanamke anatafuta?, mwanamke anatafutwa. Wewe unataka niwe na vigezo unavyotaka wewe kwani wewe ndio unanioa?
Jambo haliwi baya mpaka pale akili yako itakapoamua kulifanya liwe baya.
 
Hivi inabidi umuumbe wakwako
Kwa sie tilio zaliwa na wanawake wenzio tutakupa kero
 
Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
Terms and Conditions to be Applied...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…