Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Izo ni ndoto za karibia kila mwanake amnatofautiana kwenye rangi na kimo
 
ahaaa na wewe huna kucha?
vigezo si vibaya ila
wakiku pm watu may be saba, ukaonana na wa kwanza na ukakuta sio,wa tatu vivyo hvyo
na uliemwacha ndio mwenye vigezo
bora mkakutana tu kama kawaida na mkafanya mnachokihtaj
ni mtazamo wangu tu
 
sikutani na watu ovyo, kukutana nao nimeshindwa,
 
kasoro yako uko mweusi, na mm napenda cheupe pee.. 'Sio jianamke jeusi kama ww'-nimejaribu kutumia lugha yako..
 
kwani umelazimishwa? wewe unapenda wanawake weupe kwasababu wewe ni jeusiiii tiiiii, mimi nanapenda rangi yeyote kwa sababu nina rangi nzurii ya kati rangi yangu adim usiifananishe na yako kama mkaa.
 
Pia wewe ni mzee gete gete... Miaka 30 si haba..
 
unajuaje ni hovyo kama hukutani nao
vigezo vyako unavijua kupitia sms na phone calls?
simple sana tuu.kichwani nina vigezo 2 tuu muhimu, hivi ndivyo ninavyoviangalia sana hivyo vingine ni bonus.
 
Back
Top Bottom