Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hakuna anayemponda Diamond,Watu wanaomponda Diamond kwenye hii game ya Bongo Fleva ni vipofu au tuseme hawana shukrani. Huyu mjomba kaichukua hii Bongo Fleva to another level sasa imepata thamani mnampika majungu. Hawa wakina Ali Kiba na wengine wote walikuwa wanaimba kupata milupo na kuganga njaa kwa wahindi. Kaja jamaa kuonyesha njia ya kupiga hela watu wanampika majungu, watanzania sijui tupoje!!!
Watu wameshangaa tu jinsi meneja wa diamond amepanic na kutokwa povu baada kiba kupanda hilo jukwaa.