Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hakuna anayemponda Diamond,Watu wanaomponda Diamond kwenye hii game ya Bongo Fleva ni vipofu au tuseme hawana shukrani. Huyu mjomba kaichukua hii Bongo Fleva to another level sasa imepata thamani mnampika majungu. Hawa wakina Ali Kiba na wengine wote walikuwa wanaimba kupata milupo na kuganga njaa kwa wahindi. Kaja jamaa kuonyesha njia ya kupiga hela watu wanampika majungu, watanzania sijui tupoje!!!
Anatumia Jina LA mondi kivipi mbona unalalamika tu, kwani aliyetangaza ni kiba au wenye event yaoKiba anatumia jina la mond na kafanya makusudi hata ukiangalia post zke kabla ya show utaona ni jambo aliolipanga kwa faida yke
kwani kwenye hiyo show kulikuwa na Diamond peke yake mpaka useme Diamond alitumika kuvuta mashabiki?!Kwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Ndio hata na huyo Raila Odinga kupitia f.b alisema hatakuwepo Diamond hakutaja wasanii wenginekwani kwenye hiyo show kulikuwa na Diamond peke yake mpaka useme Diamond alitumika kuvuta mashabiki?!
Naona umepagawa n mtv hadi umeweka avatar habari mbaya Diamond hata perform pia na kule hamna kupewa viroba ili mzomeeAnatumia Jina LA mondi kivipi mbona unalalamika tu, kwani aliyetangaza ni kiba au wenye event yao
[HASHTAG]#Aje[/HASHTAG] tu, habari mbaya upande wako nadhani, au hukumbuki fiesta na kiboko yao, Halafu hujajibu pale juu aliyetangaza ni naniNaona umepagawa n mtv hadi umeweka avatar habari mbaya Diamond hata perform pia na kule hamna kupewa viroba ili mzomee
Kapanik kwasababu kiba kalipwa kupitia jina la diamonndHahaaa sasa kwann meneja wenu apanic vile?? Usijifanye hujaona caption ya bwana meneja[emoji3] [emoji3] [emoji3]
sina mahaba na yeyote ila kimahesabu king alitakiwa apewe2.5mil kwakuwa daimond ana team ya watu 20 king ya watu 10 kimahesabu hapo king yuko juu ki mkwanja
Umeua kaka!
!
Hayatusaidii sana haya ya beef. Wao wafanye mziki mzuri basi
Hakuna anayemponda Diamond,
Watu wameshangaa tu jinsi meneja wa diamond amepanic na kutokwa povu baada kiba kupanda hilo jukwaa.
Mkuu hilo neno surprise watu wanali underestimate kwa kuwa tu limetumika kwa Ally ila wote wanatambua lina maana gani... huwez ukam surprise mtu na jambo la kawaidaNi sawa na mkeo ukasema una msurprise halafu unampa matambara wakikuchukulia wajanja usilie..kuna haja watu wakatambua hili neno "surprise"linamaanisha nini
Ndo nini???Mtakaba unao?
Sasa huko kutumika alitumia kiba???kwani kiba ndo alikuwa mwenye hiyo show au mualikwa tuKwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Wanajifanya kujitoa akili...[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ni sawa kwenye show ya Fiesta watangazwe wasanii wote halafu siku ya show apande BEST NASO ghafla halafu waseme eti hiyo ni suprise.... surprise gani hiyo? Surprise inabidi msanii anayepanda awe mkali kuliko wale wote kama ilivyotokea kwa kiba kule kwenye fiesta, that was a real surprise. Hata Kenya waandaji waliamua kuwapa burudani ya ukweli kwa kumpandisha kiba kwa surprise maana ndio aliyekuwa anakubalika kuliko wote.... Surprise sio kitu kidogo