Hahaaa kiungo reserve yani baada ya first eleven haha dharau mbayaa mzee wa bench ikitokea majeruh unawekwa kiraka diamonds are forever lazima mjue kutofautisha katiyaaaaa chibuuuuuuuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meneja kaguswa sehemu sio itakua haiwezekani kashtuka kwa kiwango hiki.
Haamini anachokiona, Alaf eti yanasema yanataka kuupeleka mziki wetu mbali na kuleta heshima nyumban!!! Hii mijitu mbona minafiki sana, chuki roho mbaya tu, inaona gere inataka yenyeww ndiwe iwe juu siku zote.
Kiba jeshi la mtu mmoja, Anatumbua kavu kavu bila collabo.
Kwani lazima muandike lugha za wenyewe?,au mnategemea wasomaji huko insta ndio kama nyie?Shot fired againView attachment 398328
To be honesty, nimejaribu kuwahoji vijana wengi wakike na wakiume walio stable,kuhusu nasseb na ali,nilichogundua majority of'em wanamkubali huyo ali.kuna two classes hapa,wale ambaokwamba wanamkubali Ali na wale wa cocobeach kama mm tunamkubali Nasseb.kijana,usitudanganye kuwa ndomo ndo msanii nambari uno east Africa. leta takwimu
Hahaaa mnanifurahisha kweli kwahiyo kiba katoka huko et anaenda kumshusha domo , waandaaji watakuwa walifanya siri maana walijua diamond anaweza asiperform akijua kiba yupo, jibu ni kwann?
Haiwezekani utake ya peponi na jehanam...lazma UCHAGUE UPANDE....TUWEKE MCHANGA UPUTE TULIANZISHEEE...hayaaaa chagua bega. ...Jamani tuwapende woteeeeee
Mpira na hasa wa miguu huwezi linganisha na huu ungese wa muziki mbovu huu.....kuwa makini.Mwanaume haiwezi leta mada za umbea kiasi hiki,ubora wa msanii unapimwa kwa tuzo na mafanikio kama ilivyo kwenye mpira,huwezi sema hii ni ligi bora wakati timu zake miaka mitano na zaidi hawana hata Uefa,karibu miaka tisa tuzo pendwa za ballon wanazisikia kwenye tv,eb tuanzie hapo mondi na kiba nani anatuzo nyingi kimataifa achana na hizi za kilimajungu awards
Kwahiyo mond akipanda jukwaani wengine hawaruhusiwi kupanda? Acheni uoga wa kitoto huo....mastaa wa dunia wanashea majukwaa seuse hao wa tandale na ilala.Kwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Aliyelipwa 5m ana timu ya watu 20...mwenxie amelipwa 3m ana timu ya mtu 10.....aliyofanya biashara mwenye watu 10....malipo per person ni laki 3 huyu mwingine malipo per person ni laki 2.5Hahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chagua upandeeeeee....no room for non allied persons...you are with US or against US full stop.Ally kiba nyimbo zake nzuri na diamond nyimbo zake nzuri.wote wanaitangaza nchi yetu nzuri Tanzania
Wewe itakuwa unesomea hesabu na hasa zile za profit and loss accounts....kuanzia Leo naomba nikubatize utakuwa swit mangiiiisina mahaba na yeyote ila kimahesabu king alitakiwa apewe2.5mil kwakuwa daimond ana team ya watu 20 king ya watu 10 kimahesabu hapo king yuko juu ki mkwanja
Wewe itakuwa unesomea hesabu na hasa zile za profit and loss accounts....kuanzia Leo naomba nikubatize utakuwa swit mangiiii
Kina nani waje...aahhaa..mwambie ajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri waje
Aje Na rafiki zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] goodnightKina nani waje...aahhaa..mwambie ajeee