Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Kiba ananyima watu usingizi hivi dah huyu sallam kumbe nae ni zero hivi yy Ndio anampa chati Kiba kwa mambo haya anayopost
 
Meneja kaguswa sehemu sio itakua haiwezekani kashtuka kwa kiwango hiki.
 
Hahaaa kiungo reserve yani baada ya first eleven haha dharau mbayaa mzee wa bench ikitokea majeruh unawekwa kiraka diamonds are forever lazima mjue kutofautisha katiyaaaaa chibuuuuuuuu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Roho mbaya zenu mithili ya korosho tutazinyoosha, Tumezaliwa na kukulia kariakoo wewe wa tandale ndio ujifanye upo juu? What the hell, Mwaka jana tuliwambia hivi kufikia October mwaka huu, wote mtafyata mikia, sasa yametimia, Tunawachemsha kwa pasi ya mkaa yani hata umeme uzimike mtanyooka tu.
 
Meneja kaguswa sehemu sio itakua haiwezekani kashtuka kwa kiwango hiki.

Haamini anachokiona, Alaf eti yanasema yanataka kuupeleka mziki wetu mbali na kuleta heshima nyumban!!! Hii mijitu mbona minafiki sana, chuki roho mbaya tu, inaona gere inataka yenyeww ndiwe iwe juu siku zote.


Kiba jeshi la mtu mmoja, Anatumbua kavu kavu bila collabo.
 
Haamini anachokiona, Alaf eti yanasema yanataka kuupeleka mziki wetu mbali na kuleta heshima nyumban!!! Hii mijitu mbona minafiki sana, chuki roho mbaya tu, inaona gere inataka yenyeww ndiwe iwe juu siku zote.


Kiba jeshi la mtu mmoja, Anatumbua kavu kavu bila collabo.

Ukitaka kujua wanapenda fitna leo usiku wako radhi mmoja wao hata atembee uchi ilimradi kesho awe habari kisa kesho kuna 'Nisamehe' duh kuna time hua naachwa hoi na hawa mameneja
 
kijana,usitudanganye kuwa ndomo ndo msanii nambari uno east Africa. leta takwimu
To be honesty, nimejaribu kuwahoji vijana wengi wakike na wakiume walio stable,kuhusu nasseb na ali,nilichogundua majority of'em wanamkubali huyo ali.kuna two classes hapa,wale ambaokwamba wanamkubali Ali na wale wa cocobeach kama mm tunamkubali Nasseb.
 
Hahaaa mnanifurahisha kweli kwahiyo kiba katoka huko et anaenda kumshusha domo , waandaaji watakuwa walifanya siri maana walijua diamond anaweza asiperform akijua kiba yupo, jibu ni kwann?

Ooh sad thing, get a life.
 
Mwanaume haiwezi leta mada za umbea kiasi hiki,ubora wa msanii unapimwa kwa tuzo na mafanikio kama ilivyo kwenye mpira,huwezi sema hii ni ligi bora wakati timu zake miaka mitano na zaidi hawana hata Uefa,karibu miaka tisa tuzo pendwa za ballon wanazisikia kwenye tv,eb tuanzie hapo mondi na kiba nani anatuzo nyingi kimataifa achana na hizi za kilimajungu awards
Mpira na hasa wa miguu huwezi linganisha na huu ungese wa muziki mbovu huu.....kuwa makini.
 
Kwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Kwahiyo mond akipanda jukwaani wengine hawaruhusiwi kupanda? Acheni uoga wa kitoto huo....mastaa wa dunia wanashea majukwaa seuse hao wa tandale na ilala.
kama ingekuwa ni zari I waiti pareee hapo sawa ....
 
Hahahaaaa halafu kiba ye hajali sasa watu washaanza Mara huyu kalipw mil 5 huyu mil 3 hiyo yote mapovuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliyelipwa 5m ana timu ya watu 20...mwenxie amelipwa 3m ana timu ya mtu 10.....aliyofanya biashara mwenye watu 10....malipo per person ni laki 3 huyu mwingine malipo per person ni laki 2.5
NAANZA KUELEWA CHANZO CHA POVU NI ZAIDI YA WINGI WA OMO KWENYE MAJI
 
Back
Top Bottom