Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Hahahaaaa umenichekesha
 
Sasa ujinga ni kwamba pamoja na watu hao 20 wa mond ila bado anapiga playback wakati kiba ana watu 10 na anapiga live band. Meneja mswahili akajipange... Ajue anadili na meneja msomi anayeijua industry ya mziki wa ndani na wa nje viZuri.
Umeonaee watu wanahis hiyo hela yote anakula yeye peke yake kumbe Ana rundo la watu nyuma
 
Meneja uchwara huyo,hata yule mwingine anaitwa sjui Almas mzambele nimeona kaweka mimaneno yake ya kike kule fb,sasa swali ni kwamba kwani walikuwa kwenye competition huko mombasa???mpaka waanze kumparura ally wakati yye wala hawajibu kitu???
Ally Hana makuu mkaka wa watu wanamtafuta wao wenyewe ..Jana kajipostia picha za IDD Mombasa Hana hata wasiwasi
 
Kwani sisi mashabiki ndo waandaaji na kwanini meneja wenu apanic? Kama anajiamini kwann asingepotezea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi nachojua katika shows zote the main man anapiga mwisho ni kama kwenye ndondi the main fight is always the last, wale wa kutanguliza shoo ndio huwa wanaanza. Sasa huko Mambasa nani alianza na nani alimaliza jiulizeni wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeuaaaa na ndo chanzo cha mapovuuu yoteee yaani surprise is always good than promise.. Sasa naanza kuelewa kwann meneja kapanic, [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] asante kwa kunifumbua
 
Waliokuwepo kwenye show hata video za hawa wasanii mahasimu waliozipost kweny page zao zinaonyesha kabisa nani alipata wakati mgumu Mombasa

Pamoja na kuwa kiba alikuwa surprised artist akitegemea shangwe kubwa lkn hari ikawa tofauti na mategemeo......my take kiba bila figisu zake za kuja na wanyaviroba wa kariakoo na kumfanyia fujo kwa kumponda makopo pamoja na buuu za bila kikomo wanapokutana hauwezi moto wa mond kwa jukwaa
 
Mbn sioni cha ajabu hapo? Yes, lazima ushangae, jitihada za mwingine haziwezi kulisha familia ya mwingine. Kama kiba ni mzuri angetumika kwenye matangazo, sasa msanii anapitia njia za panya kupanda jukwaani huko ni kujipeleka karibu na mwingine kilazima wakati unajua siyo level zako.

Hili si jambo jema kibiashara, halafu mashabiki wake nanyi mmeshakuwa kama yeye, eti mnaona ndo sawa. Kweli kazi ipo
 
Umeonaee watu wanahis hiyo hela yote anakula yeye peke yake kumbe Ana rundo la watu nyuma
Kumbe kuna wanaume wanadandia nyota yake siyo, [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Kiba akazane, mpeni ratiba ya dai mkononi ili awe angalau anapata kdg

Mwenyewe hatoboi...
 
Acheni Uchochezi Nani aliona Mikataba yao mpaka Useme Kiwa huyu alilipwa hivi na huyu alilipwa vile? Huyo Sallam ndo anayepanic bure, na Alikiba ni Msanii asiye na Makuu kabisa anafanya Muziki wake.
Kiba has respect n discipline to his music and artists
 
Alikiba anatafutia umaarufu kuupitia jina la mondi. He was all gone ila kupitia vibeef ndio karudi. Na ukitaka jua kiba anapenda kick angalia interview za kiba. Thn angalia interview za mond wanspoulizwa kuhusu wao..
 
Kafinika wap mbona hujaeka ata evidence... nijuavyo mimi Mondi anasubiri kwa mfalme uyu wa mziki, nmeongea na wakenya waliokua uko wanasema huyu dogo kiba n moto wa kuotea mbali... ilfika stej ya kumuita mdogo wake R kelly kwa namna alvoimba vzr.. hongera kiba kutuwaklsha vema nabkutotuangusha mashabk zako
 
Hivi kuna siku wao walishasema wana bifu kati yao au sisi tu tunawaongezea njia ya kupata 'ugali'?
 
Sio panic ila n fact hasa pale mtu anapo kula jasho lako afu no appreciation
Amekula jasho la nan, ukitaka kuongea ongea point yenye maana sio unabwabwaja ionekane na ww umeongea, kwani ule mkataba hukuuona ,
 
asante kwa ushuhuda, je ushuhuda wako watufundisha nini?
 
Alikiba anatafutia umaarufu kuupitia jina la mondi. He was all gone ila kupitia vibeef ndio karudi. Na ukitaka jua kiba anapenda kick angalia interview za kiba. Thn angalia interview za mond wanspoulizwa kuhusu wao..
Hahaaa yaani mnanishangaza mnapomlaumu kiba wakati naye kaombwa aparform na hela kapewa sasa hapo nyie badal ya kumlaumu muandaaji na akili zenu fupi mnamlaumu king wetu, em tupishe sie [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Yaani nyie mashabiki mandazi ndo mnatia aibu hadi meneja wenu, et njia za panya hahahaaa na usijifanye hujaona mkataba mwenye watu 10 kapewa 3ml ksh na mwenye watu 20 kapewa 5ml ksh, Na bado kapewa heshima ya kumaliza mchezoo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Surprise ni heshima Kama hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…