fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Wanasema surprise,yaani mimi nione tangazo la.show inaonyesha diamond atakuwepo then niende kule kwenye show nikute diamond anapiga mziki,kisha anatokea ali kiba,hata kama ntamshsngilia kiba,lakin tambua alienitoa nyumbani kuja kwenye show ni diamond,na hata ingekuwa ni malipo tafsir yake nimelipa kiingilio kwa ajili ya show ya diamond.Mbn sioni cha ajabu hapo? Yes, lazima ushangae, jitihada za mwingine haziwezi kulisha familia ya mwingine. Kama kiba ni mzuri angetumika kwenye matangazo, sasa msanii anapitia njia za panya kupanda jukwaani huko ni kujipeleka karibu na mwingine kilazima wakati unajua siyo level zako.
Hili si jambo jema kibiashara, halafu mashabiki wake nanyi mmeshakuwa kama yeye, eti mnaona ndo sawa. Kweli kazi ipo
Alichofanya kiba mi kujishusha na mwenyew moyoni analitambua hilo.