Hujanielewa kaka mm nachomanisha timu kiba wanasema mond alikuwa na watu weng kuzid kiba so kwa Hera walizopewa inaonekana kiba kala hela ndefu kwa wanavoshadadia asa ukimeki calculation by kuashum kila msanii ampe mtu alienda nae uko Kenya 2M kiba atabakiwa kama na 40m iv buku mond akibakiwa na 60m iv asa m nashangaa anapopayuka eti kiba kala hela ndefu nashindwa kujua wa natumia calculation ganiAnamkimbiza wapi? ni kweli alikiba hakuwepo kwenye tangazo. So watu walilipa wakijua ni diamond. Njaa kali akajitokeza hapo kati.
Amshukuru diamond maana bila yeye asingepata riziki.
Mbn mnakuwa hamna shukrani?
na akitaka kupata awe anamfuata nyuma nyuma hivo hivo, vingenevyo hatoboi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
chezea kudoda nini