Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Hujanielewa kaka mm nachomanisha timu kiba wanasema mond alikuwa na watu weng kuzid kiba so kwa Hera walizopewa inaonekana kiba kala hela ndefu kwa wanavoshadadia asa ukimeki calculation by kuashum kila msanii ampe mtu alienda nae uko Kenya 2M kiba atabakiwa kama na 40m iv buku mond akibakiwa na 60m iv asa m nashangaa anapopayuka eti kiba kala hela ndefu nashindwa kujua wa natumia calculation gani
 
We wa kubalie tu mkuu, sema waambie wasisahau ku copy ratiba ya diamond... akialikwa tu, wabebe mizigo yao wawepo jirani pale.
 
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mziki sema ukweli ni nani ambae kila siku wasanii wanamlalamikia kama sio hao akina salam na babu tale wanao ndio hawataki msanii mngine akae juu wanajua watakosa fursa
 
5M ya Kenya kama 110M kibongo bongo kwa hiyo hela kwa watu 20 mpe kila mtu 1M zen...

3M ya Kenya kama 66M kibongo bongo kwa hiyo hela igawanye kwa watu kumi mpe kila mtu 1M so jibu utapata mwenyew uende wapi patakapokfaaa
 
Kiba ni kifaa kingine bhanaa
hao wcb waache panic za kitoto.
mbona ratiba ya kiba kuperform ilishajulikana hata kabla ya wao kufanya show?
huyo mond yeye ni kaka la moto kwamba linachoma?
 
ndomana huyu mond hasogei kazi yake inakuwa kubishana na mashabiki na hizo team,sababu kubwa ni watu waliomzunguka ila Alikiba anacho nikosha mara nyingi ni mtu wakuchukulia poa ushamba kama huo wa meneja wa diamond anakuja na ngoma kesho tena wakikutana stajini mtu akipigiwa zile booo,wanaanza kusingizia kuwa kunakundi limekodiwa but wanasahau wao wanayoyafanya
 
Hata Diamond akiondoka leo watakaokuja wanajua thamani yao. Jamaa kawazibua masikio kwamba Bongo Fleva ni kazi kama nyingine. Kawaonyesha jinsi ya kuchukua hela sasa hivi wanamponda. Bila Diamond hao kina Kiba walikuwa hawalipwi hela kama wanayolipwa sasa hivi. Jamaa ndio kinara, kafungua njia. Mnyongeni haki yake mpeni. Msiwe wezi wa shukrani.
 
Inabidi utafakali kwa kweli,mwenzako hasiye na akili anachukua 5m na wewe mwenye akili unachukua 3m kisha bado unajiona wewe ndio mwenye akili ...... si bure ukapimwe.
Aliye chukua 3ml anazungukwa watu kumi aliyechukua 5ml anazungukwa na watu ishirini piga hesabu hapo nani abaki na hela wewe uoni meneja mond kaona hamna kitu ndio analia lia tu
 
Aliye chukua 3ml anazungukwa watu kumi aliyechukua 5ml anazungukwa na watu ishirini piga hesabu hapo nani abaki na hela wewe uoni meneja mond kaona hamna kitu ndio analia lia tu
Kiba yupo chini ya MENEJIMENTI maana yake ni kampuni, na kampuni inafanya mambo yake zaidi ya kugawana pesa.Usidhani kwenye kampuni pesa inapatikana kisha watu wanaanza kugawiwa sio hivo braza,za kudanganywa changanya na zako za shuleni.
 
5M ya Kenya kama 110M kibongo bongo kwa hiyo hela kwa watu 20 mpe kila mtu 1M zen...

3M ya Kenya kama 66M kibongo bongo kwa hiyo hela igawanye kwa watu kumi mpe kila mtu 1M so jibu utapata mwenyew uende wapi patakapokfaaa

wewe, hio exchange rate umeitoa wapi? Eti 5M KSHS ni 110 million kibongo bongo
Ndio mnavyodanganyana kwenye magroup yenu ya Wcb
 
Ndorobo kweli wewe, hio exchange rate umeitoa wapi? Eti 5M KSHS ni 110 million kibongo bongo
Ndio mnavyodanganyana kwenye magroup yenu ya Wcb
Ukichunguza kwa makini watu wanaomshabikia kiba wengi huwa na mapunga watu waropokaji ambao hwaend na fact coz always wanalazimisha ukweli kuwa uongo......kama hujui 1ksh ni sawa na 22Tsh so fanya calculation sasa uongeze na shule
 
Ww kweli iv kati ya kiba na mond ypi ambaye ni stagnant mtu kaanza game miaka ya 2000 uko lkn domo mtt wa juzi tu lakn angalia effect yake
 
Mm naomba mond aachane na mziki coz mziki umekuwa cyo burudan tena bali vita sasa, mwingne akionyesha juhudi zake kujibrand mwingne akitumia bifu kuwin majority
 
Ww kweli punga katika ubora wako iv kati ya kiba na mond ypi ambaye ni stagnant mtu kaanza game miaka ya 2000 uko lkn domo mtt wa juzi tu lakn angalia effect yake
una akili sana
 
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mziki sema ukweli ni nani ambae kila siku wasanii wanamlalamikia kama sio hao akina salam na babu tale wanao ndio hawataki msanii mngine akae juu wanajua watakosa fursa
Mpuyango wa hari ya juu.....pamoja na sapraiz yake lakini muulizen yaliyomkuta mombasa kapost video zimepooza kama ypo msibani
 
Mm naomba mond aachane na mziki coz mziki umekuwa cyo burudan tena bali vita sasa, mwingne akionyesha juhudi zake kujibrand mwingne akitumia bifu kuwin majority

Waafrika tuna katabia ka kuvunjana moyo wenyewe kwa wenyewe. Ukijitahidi kujikwamua na ukapata mafanikio kidogo tu utaambiwa siku hizi unajidai sana. Wanachota wote mkose hata nauli ya daladala mtembee kwa miguu mpaka Kariakoo ndio wakuone mwenzao. Lakini akija Muhindi au mwaarabu na kuvuna pesa hata kama anawadhulumu watamtolea mimeno yote nje na kumuona ana akili sana.
 
5M ya Kenya kama 110M kibongo bongo kwa hiyo hela kwa watu 20 mpe kila mtu 1M zen...

3M ya Kenya kama 66M kibongo bongo kwa hiyo hela igawanye kwa watu kumi mpe kila mtu 1M so jibu utapata mwenyew uende wapi patakapokfaaa
Kwa hiyo kwa hesabu hizo za 110/20 =5.5 na 66/10=6.6 wewe ungeenda wapi ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…