Vip hesabu zimegoma au..?Kiba ndio mwenye watu wengi kwa taarifa yako,maana yeye yupo chini ya MENEJIMENTI kwa maana ya kampuni,anapangiwa apewe sh'ngapi (kama Harmo alivyo WCB) Wakati DIAMOND yeye ndio anawa meneji. Ambao wengi wao wapo kwa kulipwa mwisho wa mwezi na hategemei shoo kuwalipa hao watu wengi unaowaona.
Ww jamaa akili ndogo sana na unaongozwa na hisia huna fact jinsi nilivokujib umepuyanga cjui wapi....ok kiba kapata mkwanja mrefuKwa hiyo kwa hesabu hizo za 110/20 =5.5 na 66/10=6.6 wewe ungeenda wapi ..?
We umeona mi nina shida ya kupiga hesabu na wewe ......angalia unaeongea nae.Vip hesabu zimegoma au..?
Unakuwa hawa mashabiki wa kiba wanalazimisha furaha psipo na furaha nimemwambia ikiwa kila mtu atamlipa mtu alienda nae kenya 1M mond anabakiwa na 80M iv afu bichwa 40M asa nani kala hera ndefuWe umeona mi nina shida ya kupiga hesabu na wewe ......angalia unaeongea nae.
Hao ni vichaa, achana nao. KIBA YUPO CHINI YA MENEJIMENTI NA ILE MENEJIMENTI NI KAMPUNI, NA KAMPUNI SIO KILA PESA NI YA KUGAWANA KILA KITU KIPO KIMKATABA,SASA KAMPUNI NI YA MTU MMOJA AU WAWILI ..............KIBA NDIO MWENYE WATU WENGI SANA KULIKO DIAMOND,NA DIAMOND ANAJIAMULIA YEYE SIO ANAAMULIWA KAMA KIBA, NA KIBA KILA KITU ANAFANYIWA NA KAMPUNI, SASA KAMPUNI WANAMFANYIA BURE ............ SI WANATAKA ZIRUDI,ALIVYO KIBA HANA TOFAUTI NA HARMONIZE,RAYVAN AU RICHMAVOKO AMBAO WAPO CHINI YA WCB SASA JE,DIAMOND AKATI PESA ZAKE KWAO ???Unakuwa hawa mashabiki wa kiba wanalazimisha furaha psipo na furaha nimemwambia ikiwa kila mtu atamlipa mtu alienda nae kenya 1M mond anabakiwa na 80M iv afu bichwa 40M asa nani kala hera ndefu
Kwa hiyo mkuu unapanga mpaka matumizi kila aliyeenda nae apate mil moja..?Unakuwa hawa mashabiki wa kiba wanalazimisha furaha psipo na furaha nimemwambia ikiwa kila mtu atamlipa mtu alienda nae kenya 1M mond anabakiwa na 80M iv afu bichwa 40M asa nani kala hera ndefu
Wewe hujui biashara ya muziki inavyokwenda acha kelele, unajua maana ya KUWA NA MENEJIMENTI A.K.A KAMPUNI.......... UNAJUA KAZI YA MENEJIMENTI KTK MUZIKI INAMAANISHA NINI ............UNAJUWA KUWA KIBA KILA KITU KINAFANYWA NA MENEJIMENTI YAKE ........... NA SI UNAJUA KAMPUNI KILA KITU KIPO KIMAHESABU MWISHO WA PICHA LAZIMA PESA IRUDI ........... UNAJUA KIBA ANAPEWA KIASI GANI AU ASILIMIA NGAPI KWA SHOO NA KAMPUNI YAKE ...........BIASHARA YA MUZIKI NI NGUMU USIICHUKULIE POA KWA KUWA WEWE UPO PEMBENI UNASHANGILIA TU. NIULIZE MIMI BIASHARA YA MUZIKI NINAIJUA A -Z SIO NA BAHATISHA. MSANII KUSIMAMA BILA MENEJIMENTI YATAKA PESA KWA MAANA INAKUBIDI KILA KITU UTOE PESA YAKO MFUKONI.Kwa hiyo mkuu unapanga mpaka matumizi kila aliyeenda nae apate mil moja..?
Diamond Platnumz haipingiki ni msanii ambaye ni hakunaga kwa nchi yetu Tanzania.
Tuzidi kujivunia jamani, hadi utamuuuuuu
Na nyie mashabiki wa kiba mnaumia sana kuona jamaa anazidi kukaza mnoamba ata leo msikie kafua ndo maana mnalazimissha furaha pasipo na furaha.....meneja analalamika brand ya domo kutumika zen mtu mwingne anatereza kwny ganga la ndiz lkn kwa sababu ww akili imekaa kishabiki huwez juaKama ndo hivyo why panicking, maana manager wenu kapanic hadi kajitoa ufaham. Any way mashabiki wa diamond hawapendi mtu yoyote afanikiwe isipokuwa diamond tu.
Hilo hawalioni wamekaa kishabiki wanalazimisha furaha pasipo......na mombasa unaambiwa pamoja na sapraiz yake lkn kilichompata anakijua alijua ypo kariakoo kwa wala viroba watamsaidia kurusha makopo na buu za kutoshaHao ni vichaa, achana nao. KIBA YUPO CHINI YA MENEJIMENTI NA ILE MENEJIMENTI NI KAMPUNI, NA KAMPUNI SIO KILA PESA NI YA KUGAWANA KILA KITU KIPO KIMKATABA,SASA KAMPUNI NI YA MTU MMOJA AU WAWILI ..............KIBA NDIO MWENYE WATU WENGI SANA KULIKO DIAMOND,NA DIAMOND ANAJIAMULIA YEYE SIO ANAAMULIWA KAMA KIBA, NA KIBA KILA KITU ANAFANYIWA NA KAMPUNI, SASA KAMPUNI WANAMFANYIA BURE ............ SI WANATAKA ZIRUDI,ALIVYO KIBA HANA TOFAUTI NA HARMONIZE,RAYVAN AU RICHMAVOKO AMBAO WAPO CHINI YA WCB SASA JE,DIAMOND AKATI PESA ZAKE KWAO ???