Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Kwa nionavyo mie.. Huyu kijana diamond anazidi kumrudisha alikiba katika midomo ya watu..
Kama ilivyopangwa ndivyo inavyotekelezwa..
Hahahaaa [emoji3] [emoji23] [emoji23] mapovuu
 
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
 
Mswahili wa tandale lakini full kutafuta kiki kupitia mond
 
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa mapovuuuu anagalia hii picha halaf uniambie na hao watu walijazwa na domo Acheni roho mbaya zenu hazitowafikisha popote
 
Hizi team mbili, kiba versus Ally ziendelee kuwepo kama team yanga na simba. Team hizi ni mhimu ili kuleta changamoto na mabadiliko na maendeleo katika performance zao!
 
Hebu niwekee picha ya Sallam hapa nimsomee albadir (natania)[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yaani sijaona meneja mchochez kama sallam
 
Umeonaeeh hii walitakiwa waipotezee Sasa wanaonekana anawaumiza kichwa
Hamna anaeumizwa kichwa hapo ndugu yangu..

Hiyo inayoitwa "bifu" ni mbinu ya kumrudisha Alikiba katika vinywa na masikio ya wengi..

Katika maisha hakuna kinachotokea kama bahati!
 
Mu accept Kiba anatumia mgongo wa Diamond, angetangazwa yeye ndio ingebidi alete kujishooo shooo. Ila ni Diamond kaheshimika zaidi, pia muache kuchochea jamani. Kiba kaanzisha kajibiwa vizuri, huwezi kuwa surprise na kujidai umevuta crowd ya watu.

Bora ajitahidi kupiga show hata Dar, kiingilio kianzie laki tatu avute crowd kuonyesha yeye ni King na yupo juu kama anavyodai...it's that simple.
 
Inabidi utafakali kwa kweli,mwenzako hasiye na akili anachukua 5m na wewe mwenye akili unachukua 3m kisha bado unajiona wewe ndio mwenye akili ...... si bure ukapimwe.
 
Na hilo ndilo tatizo lao kubwa... Hawataki kuona msanii mwingine anafanikiwa, roho za ajabu kabisa!!

Nope, mtu afanikiwe kwa njia yake si yakutaka mwingine ashuke na kuringishia wakati anajua ukweli.
 
By the way, Kiba alipojua ni ya siasa ali9mba kwenda kupiga show bure, na kuwahahidi hataingilia kujitangaza sababu show ni ya Diamond Platnumz aliyelipwa pesa nyingi.
 
Nope, mtu afanikiwe kwa njia yake si yakutaka mwingine ashuke na kuringishia wakati anajua ukweli.
Huyo kama kushuka atashuka mwenyewe.. Sidhani kama Kiba ana lengo hilo!!

Hawa managers wa Diamond waache roho mbaya, tunataka kuona wasanii wengi zaidi wakifanikiwa ni fahari kwetu kama taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…