me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Hahahaaa [emoji3] [emoji23] [emoji23] mapovuuKwa nionavyo mie.. Huyu kijana diamond anazidi kumrudisha alikiba katika midomo ya watu..
Kama ilivyopangwa ndivyo inavyotekelezwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa [emoji3] [emoji23] [emoji23] mapovuuKwa nionavyo mie.. Huyu kijana diamond anazidi kumrudisha alikiba katika midomo ya watu..
Kama ilivyopangwa ndivyo inavyotekelezwa..
Anajifanya hajaona etHuoni tu meneja wa diamond anavyolia na hiyo surprise ya kiba mombasa?
Sema ww coz watz tunakuwa nachuki ambazo hazituletei faida...yaan sie tunabishana hapaa wenyewe wanapiga hela huo upuuzi wa team sitak hata kuusikia
Mswahili wa tandale lakini full kutafuta kiki kupitia mondShule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
Hahaaa asee yaani Ana roho mbaya hadi hawez kufichaView attachment 398602 hao nao walivyutwa na diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...Le manager kapanc ... Iyo kiba alifanya show wiki mbili nyuma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
Hahahaaaa mapovuuuu anagalia hii picha halaf uniambie na hao watu walijazwa na domo Acheni roho mbaya zenu hazitowafikisha popoteKwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Sasa iyo show c iliushisha wasanii karibia wote wa kenya na ilikuwa bonazaHahahaaaa mapovuuuu anagalia hii picha halaf uniambie na hao watu walijazwa na domo Acheni roho mbaya zenu hazitowafikisha popoteView attachment 398636
Hebu niwekee picha ya Sallam hapa nimsomee albadir (natania)[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Yaani sijaona meneja mchochez kama sallam
Hamna anaeumizwa kichwa hapo ndugu yangu..Umeonaeeh hii walitakiwa waipotezee Sasa wanaonekana anawaumiza kichwa
huo uwanja wa mama ngina ndo una beba watu 150,000 na zaidi?View attachment 398602 hao nao walivyutwa na diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...Le manager kapanc ... Iyo kiba alifanya show wiki mbili nyuma
Inabidi utafakali kwa kweli,mwenzako hasiye na akili anachukua 5m na wewe mwenye akili unachukua 3m kisha bado unajiona wewe ndio mwenye akili ...... si bure ukapimwe.Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
Na hilo ndilo tatizo lao kubwa... Hawataki kuona msanii mwingine anafanikiwa, roho za ajabu kabisa!!
Hasiye na akili anachukua 5m, mwenye akili anachukua 3m au mnaongea kinyume ....???Mkuu kweli shule nayo ni muhimu sana
Huyo kama kushuka atashuka mwenyewe.. Sidhani kama Kiba ana lengo hilo!!Nope, mtu afanikiwe kwa njia yake si yakutaka mwingine ashuke na kuringishia wakati anajua ukweli.