Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

Kwa nionavyo mie.. Huyu kijana diamond anazidi kumrudisha alikiba katika midomo ya watu..
Kama ilivyopangwa ndivyo inavyotekelezwa..
Hahahaaa [emoji3] [emoji23] [emoji23] mapovuu
 
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
 
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
Mswahili wa tandale lakini full kutafuta kiki kupitia mond
 
Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwan umeambiwa diamond hatoperform mtv mama tatizo nyie tema kibakuli mnaona ajabu kuperform mtv wakati mond huu n mwaka wake wa3 hatakuwa ana perform
Alicho maindi meneja n kutumika kwa jina la diamond kuvuta watu halafu kikaja kisanii kingine nacho ku perform
Hahahaaaa mapovuuuu anagalia hii picha halaf uniambie na hao watu walijazwa na domo Acheni roho mbaya zenu hazitowafikisha popote
1473665246430.jpg
 
Hizi team mbili, kiba versus Ally ziendelee kuwepo kama team yanga na simba. Team hizi ni mhimu ili kuleta changamoto na mabadiliko na maendeleo katika performance zao!
 
Hahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Hebu niwekee picha ya Sallam hapa nimsomee albadir (natania)[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yaani sijaona meneja mchochez kama sallam
 
Umeonaeeh hii walitakiwa waipotezee Sasa wanaonekana anawaumiza kichwa
Hamna anaeumizwa kichwa hapo ndugu yangu..

Hiyo inayoitwa "bifu" ni mbinu ya kumrudisha Alikiba katika vinywa na masikio ya wengi..

Katika maisha hakuna kinachotokea kama bahati!
 
Mu accept Kiba anatumia mgongo wa Diamond, angetangazwa yeye ndio ingebidi alete kujishooo shooo. Ila ni Diamond kaheshimika zaidi, pia muache kuchochea jamani. Kiba kaanzisha kajibiwa vizuri, huwezi kuwa surprise na kujidai umevuta crowd ya watu.

Bora ajitahidi kupiga show hata Dar, kiingilio kianzie laki tatu avute crowd kuonyesha yeye ni King na yupo juu kama anavyodai...it's that simple.
 
Naomba niseme Ukweli Tofauti ya Managers hawa wawili ni kwamba. Meneja wa Alikiba ni Mdada Msomi na mwenye network kubwa sana Africa na Marekani hasa kwenye Industry hii ya Muziki. Na Meneja wa Diamond Shule ni Zero, wanachojua wao ni Majungu na kutumia nguvu nyingi sana Kumuweka Juu Diamond. Kitu ambacho Kwa Alikiba ni Tofauti. So Sijawahi kushangaa Maneno ya Sallam au Babutale, Ndo Uwezo wao ulipoishia. Huwezi kukuta Seven anapost Ujinga. [HASHTAG]#Kajiandae[/HASHTAG].
Inabidi utafakali kwa kweli,mwenzako hasiye na akili anachukua 5m na wewe mwenye akili unachukua 3m kisha bado unajiona wewe ndio mwenye akili ...... si bure ukapimwe.
 
By the way, Kiba alipojua ni ya siasa ali9mba kwenda kupiga show bure, na kuwahahidi hataingilia kujitangaza sababu show ni ya Diamond Platnumz aliyelipwa pesa nyingi.
 
Nope, mtu afanikiwe kwa njia yake si yakutaka mwingine ashuke na kuringishia wakati anajua ukweli.
Huyo kama kushuka atashuka mwenyewe.. Sidhani kama Kiba ana lengo hilo!!

Hawa managers wa Diamond waache roho mbaya, tunataka kuona wasanii wengi zaidi wakifanikiwa ni fahari kwetu kama taifa!
 
Back
Top Bottom