Mmepanic [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na bado, ila bado hamjajibu swali kwann meneja wenu aweke caption hizo?
Walijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweliKama anapendwa kwanini wasitumie jina lake, hii hawajamfanyia fair Diamond
Et hawajamfanyia fair kwan yeye nani yaani kuna watu wanamfanya domo Kama Mungu waoWhy not fair ?!na mwenye show ndio kaamua hivyo
Kwann Meneja kapanic??Kutomtangaza Kiba inamaana crown imevutwa na jina la Diamond, kama waliona Ali Kiba anapendwa sana why wasitumie jina lake?
Salaam katwoka povu[emoji36] hadi anaanza kuringishia show za Africa tourSasa salaam ndio anataka kumrudisha kiba
Awwwww ndio maana nawapenda masuper bebez u knowHahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Kapanic bana watu walijua kiba anaenda kwenye coke studio kuperfom [emoji28][emoji28]
endelea kupiga umbeya huku umaskini ukikwandama fanya kaziHahaaa Leo katika pitapita zangu Insta nikapita kwa meneja wa diamond sallam , nikakuta kaweka picha za performance Mombasa lakini hizo caption zake imeonesha dhahiri kwamba Ally kiba anawanyima usingizi kwakwel na inasemekana kwamba hawakutegemea Kama king atatimba maeneo hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Asee meneja kachanganyikiwa nimeweka screen shot naomba mniambie mwenye presha kwa mwenzie hapo nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] King kiba Go go go.. Alafu msisahau king atakuwa Miongoni mwa Wasanii watakaoperform kwenye Tuzo za MTVmama.. Muwe na sikukuu njema ..
I LOVE ALLY KIBA , I LOVE HIS MUSIC, I LOVE HIS MELODY[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Dada tumeona video kiba watu walipoza sana mond alifanya kitu Mpaka watu wakawasha mafatakWalijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweli
Kwani diamond amekatwa hela akapewa kiba kwa iyo surprise show?Kama anapendwa kwanini wasitumie jina lake, hii hawajamfanyia fair Diamond
Achana na dada Seven bwana [emoji7][emoji7][emoji7]Shule Jamani, Dada meneja ameenda shule vya kutosha, ila hawa wa Tandale na Manzese ni full Mipasho. Kiukweli Amepanic alijifanya hajui kuwa Kiba ata perform au kujitoa ufahamu? Basi na hiyo show ya Joberg MTVMama na yenyewe ni Suprise??
Ni kweli hawezi kutokea kwavile hilo battle lake na Alikiba halimnufaishi, sanasana linamnufaisha Alikiba. Na Alikiba anapenda sana hili bifu na Diamond liendelee milele maana limemsogeza sana, tokea amerudi 'kibifubifu' na Diamond mambo yake yanaenda vizuri, anatumia mgongo wa mwenzake kuwawin mashabikiWalijua diamond hawezi kutokea ndo maana wakafanya surprise ila kiba alijua kwahiyo hapo ushajua nan anamuogopa mwenzie.. Diamond pamoja na makeke yake yote lakini anamuogopa kiba huo ndo ukweli
Uwiiiiiii Kiba anataka kurudisha ule moto wa team uliopoa JF siku hizi.KIBA ANAKUJA NA REMIX YA AJE THEN INAFUATIA INTERNATIONAL COLLABO
Kuna tatizo kwani?Pale JF inapogeuka kuwa Insta
Mkuu hebu weka hii maneno vizuri tafadhali [emoji12]Mie niko huku, mtu anatambuliwa kwa uwezo wako na sio kwa kumwacha Wema. View attachment 398691
Mkuu hebu weka hii maneno vizuri tafadhali [emoji12]