Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Na mimi nimesikia jamani nikweli
 
Kumekucha na tunda lete ubuyu wa amber lulu kukamatwa na madawa ya kulevya nairobi wakiwa wanataka kwenda china na don wa china wa unga
 
Kumekucha na tunda lete ubuyu wa amber lulu kukamatwa na madawa ya kulevya nairobi wakiwa wanataka kwenda china na don wa china wa unga
kuna mdau kashaanzisha uzi teyali au haujauona?
 
alikua anapeleka sana south nowdays ameacha amber lulu bado yupo selo toka jmos
 
Hakuna mwanamke anakula chips kama Gigy Money.

Anakulaga hadi nusu sado.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…