Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Na mimi nimesikia jamani nikweliInasemekeana haka katoto kanatumiwa na wazee wa mujini kusafirisha poda kwa soko la ndani yaani mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine....bado hawajakatuma kufanya upunda kwa soko la nje.
kiufupi haka katoto ni ka drug mule.by the way nimesikia yule mwingine anayejiita amber lulu amedakwa huko arusha,alikuwa anasafirisha poda kwenda Kenya.