Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Inasemekeana haka katoto kanatumiwa na wazee wa mujini kusafirisha poda kwa soko la ndani yaani mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine....bado hawajakatuma kufanya upunda kwa soko la nje.

kiufupi haka katoto ni ka drug mule.by the way nimesikia yule mwingine anayejiita amber lulu amedakwa huko arusha,alikuwa anasafirisha poda kwenda Kenya.
Na mimi nimesikia jamani nikweli
 
Kumekucha na tunda lete ubuyu wa amber lulu kukamatwa na madawa ya kulevya nairobi wakiwa wanataka kwenda china na don wa china wa unga
 
Inasemekeana haka katoto kanatumiwa na wazee wa mujini kusafirisha poda kwa soko la ndani yaani mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine....bado hawajakatuma kufanya upunda kwa soko la nje.

kiufupi haka katoto ni ka drug mule.by the way nimesikia yule mwingine anayejiita amber lulu amedakwa huko arusha,alikuwa anasafirisha poda kwenda Kenya.
alikua anapeleka sana south nowdays ameacha amber lulu bado yupo selo toka jmos
 
Hakuna mwanamke anakula chips kama Gigy Money.

Anakulaga hadi nusu sado.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom