BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binti kwa kula huyu
Sema mwili wake hauna shukrani tu
Kuna jamaa yuko South Africa anaitwa Side kachorwa jina na huyo Tunda[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] aiseee
Sio wa kumwaminiSo what?
Sasa huoni miguu nawewe?Umejuaje....? wazuri wote ni wachaga tu...! Mtasema hata Wema ni mchaga sasa
Yaani picha ya chakula na hapohapo choo,Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk
Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo
Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili
Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni
View attachment 412837
View attachment 412838
Huyu mtoto c mzuri walann we hans macho yako cjui vepeekizuri gharama ndugu
kwan hapo nimeandika lipi baya? Nilichoandika ni kama kuonesha mwanga fulani kwa hawa mabinti zetu waone mfano wa mwenzao anayejali mlo kamili na sio kushindia chipsi kuku na juice kama wanavyofanyaUnajua hance mtanashati zamani nilidhani wewe ni mtu mzima mwenzetu lakini unavyokafagilia haka kasichana hatimae ndipo nikafahamu kumbe nawe utakuwa ni kavulana! Manake mimi na utu uzima wangu huu hako kasura ka kitoto ka Tunda hakanipi stimu kabisa na hata kuka-do, labda iwe usiku wa giza vinginevyo na hako kasura teketeke nitajihisi kama nakaonea!
Kwani nimesema umeongea mabaya ndugu?! Au kufagilia ni jambo baya?! Halafu kwanini nitengue suala la ku-do wakati nimelihusisha na mimi na sio wewe?!kwan hapo nimeandika lipi baya? Nilichoandika ni kama kuonesha mwanga fulani kwa hawa mabinti zetu waone mfano wa mwenzao anayejali mlo kamili na sio kushindia chipsi kuku na juice kama wanavyofanya
Alafu hilo kuduu hilo lako sijalitaja kwenye post kama ipo onesha,kama hamna tengua kauli
Huyu jamaa ni mtu mzima kabsaUnajua hance mtanashati zamani nilidhani wewe ni mtu mzima mwenzetu lakini unavyokafagilia haka kasichana hatimae ndipo nikafahamu kumbe nawe utakuwa ni kavulana! Manake mimi na utu uzima wangu huu hako kasura ka kitoto ka Tunda hakanipi stimu kabisa na hata kuka-do, labda iwe usiku wa giza vinginevyo na hako kasura teketeke nitajihisi kama nakaonea!
Hapo sawaKwani nimesema umeongea mabaya ndugu?! Au kufagilia ni jambo baya?! Halafu kwanini nitengue suala la ku-do wakati nimelihusisha na mimi na sio wewe?!
aisee mbona tunachoreshana?Huyu jamaa ni mtu mzima kabsa
Soma profile yake hapo ndo itakua karamba HAPPY BIRTH DAY NGAPI View attachment 413549View attachment 413549View attachment 413549