Huyu ndio Tunda bhana, msichana anayejua nini maana ya balanced diet

Chakula chote hicho anamaliza peke yake?
Aisee!!!
Ila sawa maana naona amalizapo kula ni kwenda kushusha....... na kumaliza kilichobaki.
 
Mbona hamna kitu hapo? Unga ushakobolewa anakula makapi

Anakula samaki na matunda hapo
 
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk

Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens wengine kwanza anajali na anajua nini maana ya mlo kamili ( balanced diet) tofauti na hao wengine ambao wanashindia chips kuku tu bhasi hawataki kabisaa kusikia habari za ugali hata kidogo

Pili Tunda bhana hanaga njaa za kijinga jinga kama akina Gigy money na Amber Lulu ambao maisha kwao hayaendi bila kuuza miili yao na kupost picha zisizokuwa na maadili

Haya ni maoni yangu tu wadau kwa leo
,aya uwanja wenu wadau na nyinyi tiririkeni

View attachment 412837

View attachment 412838
Yaani picha ya chakula na hapohapo choo,
 
Unajua hance mtanashati zamani nilidhani wewe ni mtu mzima mwenzetu lakini unavyokafagilia haka kasichana hatimae ndipo nikafahamu kumbe nawe utakuwa ni kavulana! Manake mimi na utu uzima wangu huu hako kasura ka kitoto ka Tunda hakanipi stimu kabisa na hata kuka-do, labda iwe usiku wa giza vinginevyo na hako kasura teketeke nitajihisi kama nakaonea!
 
kwan hapo nimeandika lipi baya? Nilichoandika ni kama kuonesha mwanga fulani kwa hawa mabinti zetu waone mfano wa mwenzao anayejali mlo kamili na sio kushindia chipsi kuku na juice kama wanavyofanya

Alafu hilo kuduu hilo lako sijalitaja kwenye post kama ipo onesha,kama hamna tengua kauli
 
Kwani nimesema umeongea mabaya ndugu?! Au kufagilia ni jambo baya?! Halafu kwanini nitengue suala la ku-do wakati nimelihusisha na mimi na sio wewe?!
 
Unajua hance mtanashati zamani nilidhani wewe ni mtu mzima mwenzetu lakini unavyokafagilia haka kasichana hatimae ndipo nikafahamu kumbe nawe utakuwa ni kavulana! Manake mimi na utu uzima wangu huu hako kasura ka kitoto ka Tunda hakanipi stimu kabisa na hata kuka-do, labda iwe usiku wa giza vinginevyo na hako kasura teketeke nitajihisi kama nakaonea!
Huyu jamaa ni mtu mzima kabsa
Soma profile yake hapo ndo itakua karamba HAPPY BIRTH DAY NGAPI
1475780808201.png
1475780808201.png
1475780808201.png
 
Back
Top Bottom