Huyu ndiye anayemfaidi Agnes Masogange

Huyu ndiye anayemfaidi Agnes Masogange

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,752
Reaction score
929
Kufuatilia trendss za Agnes Masogange kwenye mtandao wa instagram




Kama mnavyojua dada yetu Masogange kwa muda sasa yupo nchini Sauzi na amekuwa sio mchoyo wa picha zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM


Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini, (Kwa hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI) Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard ndio mpango mzima kwa dada yetu.TEMBEA NAMI:


Kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!




Wambea tukapotezea, Dah

Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote washambenga tukahisi kuna MAUMIVU NIACHE MAHABA NIKUMBATIE hapa hahahahahaha.

Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM, Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in Diamond voic punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything"




Daah kumbe nilikuwa nachelewa jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM. Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni. Jionee mwenyewe!​


Hongera sana Jamaa kwa kumtuliza dada yetu na hakikisha arudi tena BONGO....


 
HATARI japo atatulia maana
 
Hamna anachofaidi. Ni mentality tu lakini hata wewe ukipewa utakuja kuona ni kawaida kabisa tofauti na hisia zako kabla ya action.
 
mmh kajichora chora huyo tattoo kibao

BTW hivi ukitaka kusave pics instagram wafanyaje
 
heaven on earth hata mimi sijui may be tusubiri watakuja wajuaji nime bahatisha kwenye kisimu changu cha mchina leo mpaka mimi najishangaa
 
Alihangaika na skiibii...lakin jamaa akampotezeaaa...so kaamuua atulizana.kwa huyo jamaa
 
mmh kajichora chora huyo tattoo kibao

BTW hivi ukitaka kusave pics instagram wafanyaje

Hakuna option ya kusave pics unstagram badala yake huwa unapga pcha hyo pcha..sijui wanaitaje hcho ktendo mfano kwa iPhone unahold switch na home botton simultaneously automatically inajpga yenyewe sa cjui unatumia simu gan


Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
Title ==> Huyu ndiye anayemfaidi agnes masogange

Ungemalizia (kwasasa) mkuu !

Mana hao wote wagida unga sio mda kila mtu atashika 50 zake !
 
Hakuna option ya kusave pics unstagram badala yake huwa unapga pcha hyo pcha..sijui wanaitaje hcho ktendo mfano kwa iPhone unahold switch na home botton simultaneously automatically inajpga yenyewe sa cjui unatumia simu gan
l

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
ngoja nijaribu mkuu asante kwa kunielekeza
 
Kuna wakati ukiwaona wapenzi unawaonea wivu,kumbe wanatakiwa kuonewa huruma!
 
yani dah! Huyo mtoto ntakuja kumla tu one day
 
Demu hanivutii hata kidogo na hana kigezo cha kuitwa mrembo na mimi. Poleni mnaomshabikia.
 
Thread imenivurugaaaa nikichanganya na kufungwa kwa timunya shemeji yetu watz etoo...aaa
 
Back
Top Bottom