Kufuatilia trendss za Agnes Masogange kwenye mtandao wa instagram

Hongera sana Jamaa kwa kumtuliza dada yetu na hakikisha arudi tena BONGO....
Kama mnavyojua dada yetu Masogange kwa muda sasa yupo nchini Sauzi na amekuwa sio mchoyo wa picha zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini, (Kwa hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI) Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard ndio mpango mzima kwa dada yetu.TEMBEA NAMI:
Kwanza ya huyu jamaa alipost miezi miwili iliyopita!

Wambea tukapotezea, Dah
Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote washambenga tukahisi kuna MAUMIVU NIACHE MAHABA NIKUMBATIE hapa hahahahahaha.

Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM, Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika"Mtoto si unanielewa, in Diamond voic punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything"
Daah kumbe nilikuwa nachelewa jamaa kitambo alishawekawazi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM. Alikuwa anawekapicha za Masogange na kufunguka ya moyoni. Jionee mwenyewe!