Huyu ndiye binadamu aliyetajirika

Huyu ndiye binadamu aliyetajirika

Samahani ameoa??????mana mkewe atakua na pressure by now kwaajili ya kushtuka shtuka
 
Watu wa hivi tumewaona ni ujana unawasumbua lakini wanapozeeka huwa wanakuwa lonely sana na vijana wanawabeza sana mpaka wanahama mji
 
Yaani nimeona picha ya huyu mtu aliyechanganyikiwa roho imechafuka hadi nimetapika.....Mungu tuhurumie watu wamefika mbali sana
 
Huyu kichwani wenyewe wamehama (chizi)

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Si muda na wale mabingwa/ walumbavu wa kuiga kila kitu hapa nchini petu nao tayari waishaanza kufanza UMALOUNI huo.
 
Si muda na wale mabingwa/ walumbavu wa kuiga kila kitu hapa nchini petu nao tayari waishaanza kufanza UMALOUNI huo.



Mkuu wangu wabara

salam za kheri zikufikie na neema ya Allah naimani imekujilia...

Nikirudi kwenye topic hii ni kweli jamii yetu imekua ikiharibiwa mno na utamaduni mbovu unaoletwa na wa magharibi...

Binafsi nimewacha hata kutizama nyimbo zao kwa namna wanavyojiweka..

Nimekupata uzuri bayana yako soon tutegemee kuyaona hapa kwetu...
 
Last edited by a moderator:
Mungu kakuumba mwanadabu kwenye umba zuri. Wewe unalibadilisha na kuwa umbo la mnyama
 
Back
Top Bottom