Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Demu wake mkali balaa Wema cha mtoto.
Wema ukali wake skendoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu wake mkali balaa Wema cha mtoto.
Samahani ameoa??????mana mkewe atakua na pressure by now kwaajili ya kushtuka shtuka
Yesu akichelewa kidogo tu hatomkuta mtu huku duniani wote tutakua mashetani maana tuna kasi hata shetani akikaa mwenyewe anatushangaa sisi ni nani.
Inabid na mke ajigeuze kama huyu jamaa maana atakua anazimia anahis ni vempiree
Si muda na wale mabingwa/ walumbavu wa kuiga kila kitu hapa nchini petu nao tayari waishaanza kufanza UMALOUNI huo.