Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Hivi ndege ni right hand driving au left?

Najua hizi ndege nyingi ndogo rubani anakaa kulia, kwa hizi kubwa sijui maana huwa haziko wazi tukipanda.
 
Tatizo waandishi wa habari. Habari zao wanaziita kwenye page za udaku. Wanakurupuka na vitu vilivyotrend. Sijui inakuaje mtu kusifiwa na sifa zisizo zako.
 
Umemuita hapa huyu ili aje afanye nini?

Mkuu yeye ni miongoni mwa waliomsifia sana huyo Pilot wakike na mimi nilijua kwamba yeye ndio aliterusha kwa mujibu wa bandiko la Malisa GJ lakini kwenye bandiko lako kwamba hakurusha yeye.
 
Hata mimi nlikua sijui yupi captain yup msaidizi ila yote kwa yote it's ladies time. Ule msemo wa wanawake kwanza unafanya kazi
 
mkuu hapo la ajabu lipi? mbona wanawake wengi tuu wanarusha mpaka ndege za kivita. Mwanamke ni binaadam ka binaadam wengine.
 
Hakika...Ahsante kwa ufafanuzi zaidi + mzuri pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…