Hii kitu nataka nianze kupitia website mbalimbali + vitabu ...kula kimasihara sana kuna athiri sana mambo ya ndoto, haswa katika ulimwengu wa roho
Kupitia nyuzi nyingi nilizopitia humu..wengi wamedai kuwa huo mchezo unamaliza mtu kinguvu sana!..haswa kiroho
Mkuu naomba unifafanulie kdg inakuwaje hapo..hii transmition inakuwa vipi?