Hii kitu nataka nianze kupitia website mbalimbali + vitabu ...kula kimasihara sana kuna athiri sana mambo ya ndoto, haswa katika ulimwengu wa roho
Hili limeshaanza Kutokea kwa Jirani yangu.mkuu kwa mfano, wakimpa tena na umakam wa rais mwanamke, kwajinsi navyowajua wanawake watakuja juu sana hasa wa mitaani,
wataanza kuwaoshesha waume zao vyombo na vyupi tena kwa kuwalazimisha.
Ameen kwa niaba pia..Safi sana, hongera zake.
AmeenOh glory to God,.[emoji91][emoji91][emoji122][emoji122]
Hahhaha..haswaBaada ya billionea Laizer wanaotrend saivi ni kina mama
Nahis hiyo incidence ndo imekufanya uanzishe thread mkuu[emoji16]Ndugu kuna Mwanamke nimemtongoza Jana na alichonijibu najua Mwenyewe ila mwishoni akaonyesha Jeuri na Kiburi fulani hivi kwa Kutumia Urais wa sasa wa Mwanamke mwenzao Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alinikera mno tu yaani Kumtongoza Kwangu kumehusiana nini na Urais wa Mama Samia? Wanaume tuwe Makini sana tu.
Hahhahaha..watu mna manenoSwadakta,eti maombi,kama huna hela utaomba mpaka mdomo uende upande
Ok sawa BossUruban anasomea mchepuo wowote hata ndugu zangu wa HKL
Ovaaaaaaa
Nina Hasira sana na Majibu niliyopewa na Mwanamke niliyemtongoza Jana tu. Jeuri yenu kwakuwa Rais ni Mama Samia Suluhu Hassan itawaponza. Muwe makini nasi.Mimi ni Mwanamke, nimekubaliana na hayo uloandika EXCEPT SUALA LA KUPIGA WANAWAKE! Sikubaliani na ww kutumia Mabavu! Una tofauti gani na hao wanawake wanaojigamba?
Hahaha..tumpongeze piaMchungaji bwana. sisi anatuombea ili tufanikiwe, watoto wake wake anasomesha
Ni Center Hand Driving.Hivi ndege ni right hand driving au left?
Najua hizi ndege nyingi ndogo rubani anakaa kulia, kwa hizi kubwa sijui maana huwa haziko wazi tukipanda.
Hakika Mkuu...watu wengi wameshindwa kwa sabbu ya pesaSafi sana kajitahidi na yy kabebeka vizuri..rafiki yangu mmoja akiona hii kitu ya mambo ya urubani huwa anaumia sana hakufanikiwa kwa sababu ya pesa..
Hahhaha ujumbe utamfikiaAfanye mazoezi aache Kunenepeana.
Wadau humu watakupa majibuNinauliza tu, Ameolewa?
Kuwapiga mashangazi hapana!... ila mkiwa na Sisi Wanaume mkizingua au mkituzingua tu Vibao mtawambwa ( mtapigwa )
Hakikakayapatia maisha kinoma
Ameen..zimfikieHongera sana
Haahha..au bora ufungulie mtajiNdoto yangu kabla sijaujua ukweli wa mambo..nilipokuja kutajiwa kuwa angalau niwe na M150 nikaona si baht yangu acha tu niwe abiria wa kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HakikaRaha ya ndoto uanzenayo
Hakika Boss...ila kilichotrend zaidi ni kupewa dhamana ya kuirusha hiyo ndege ikiwa na mwili wa hayati Raisi Magufuli akiwa na mwenzake...kwa sabbu ilienda Dom..Zanzibar..Mwanza + kutimiza ndoto alizokuwa nazo tangu akiwa mtotomkuu hapo la ajabu lipi? mbona wanawake wengi tuu wanarusha mpaka ndege za kivita. Mwanamke ni binaadam ka binaadam wengine.