Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Kuendesha gari ukiwa na majonzi ni kazi rahisi! Mimi hats kula ugali huwa si kazi rahisi.
TUNAIKALIAGA POLITIKI.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu nataka nianze kupitia website mbalimbali + vitabu ...

Kupitia nyuzi nyingi nilizopitia humu..wengi wamedai kuwa huo mchezo unamaliza mtu kinguvu sana!..haswa kiroho

Mkuu naomba unifafanulie kdg inakuwaje hapo..hii transmition inakuwa vipi?
kwa uwelewa wangu mfupi.
sex inakutanisha vikojoleo vyenu hivyo mwili unakuwa mmoja, hata katika ulimwengu wa roho mnakuwa wamoja mmeshirikishana.
endapo mwenzako ana balaa, nuksi, laana, baraka, kismati au gundu unakuwa mmeshirikishana, mara nyingi hivi tunaviita nguvu au mvutano ( huwa mtu anakuwa navyo, hurithiwa au huyapata kutokana na mizunguko ya dunia)
sasa kama nguvu au vitu nilivyovitaja ( spiritual power ambazo kila mtu anakuwa nazo toka uumbwaji wake ambao hupewa na Mungu) kubwa kuliko la kwake unaweza kuovercome but utaondoka nalo hata chembe chembe chache just imagine umegawa na umepata nguvu ngapi kutokana na kuunganisha miili yako na kula kimasihara, ndo maana mwisho wa siku unakosa dira ya kufikia maono yako

kama hujaelewa tutamwomba kaka Mshana Jr aelezee zaidi
 

Ahsante Chief..kumbe mchezo wenyewe unakuwa hivyo

Kwa hiyo ile hali ya sex kumbe ndo transmition ya kiroho inafanyika..

Na jee? Kama mwanaume anakismati/baraka zitaenda kwa mwanamke atakayekutana nae?
 
Ahsante Chief..kumbe mchezo wenyewe unakuwa hivyo

Kwa hiyo ile hali ya sex kumbe ndo transmition ya kiroho inafanyika..

Na jee? Kama mwanaume anakismati/baraka zitaenda kwa mwanamke atakayekutana nae?
yap. refer case za samson na delila,
baraka huwa zinapungua au kuongezeka inategemea na unayekutana naye.
haya mambo kama sumaku, mwenye nguvu ndo anamvuta mwenzake
 
Tuliza mshono.....nishauri nin sasa....hapo kuna hitaji ushauri.......acheni kupamba mambo ya kijinga ohhoo maono hayo maono angefanikiwa bila baba yao kuwa na hela ya maana kuwasomesha......
Na wewe uache ujuaji + wivu wa Kike...kumbuka wewe ni wa Kiume Hujaolewa

Punguza hizo utaolewa mdogo wangu
 
Wivu ni kidonda, ukishiliki utakonda
 
Hivi kwann mnaamini jay one ana wivu....na kwann tusihofu kwamba mleta mada huenda ameandika vitu ambavyo huenda vingine sio ukweli.
 
Hongera sana Dada Mpambanaji.
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi!

Hongera sana Anna!
 
Watoto wengi wanapoteza ndoto zao kwasababu ya wazazi wao kupuuza hobby za watoto zao
 
B 747 Ni ngumu yey kuja kuendesha sababu Ni ndege ambayo makampuni mengi yameshazistaafisha kupunguza gharama za uendeshaji Mana Ni jumbo jet hizi injini nne. Zilizobaki nying Ni za mizigo sio abiria. Na hata kiwandani hazizalishwi tena sawa na A380.
B777 ndio imekuja kuua soko la hizo mbili.
 
Achaneni na mambo ya maombi sijuii Pesa,Masomo mpaka ufikie hiyo ndoto yako si muchezo jamani,wengine tumezaliwa nyumba unapewa noti za elfu kumi kumi uchezee ndio unywe uji ila darasani pamoja na ndoto zetu Tulisema Inafu is Inafu,sio kwa F zile si kwa Sapu zile jamani eeeeh Pesa si kitu Ubongo Ubongo nasema kitu Bureini Bureini oooh hoooooo.....

Utaombewa hata na Na nabiii musa kama una bureini kama langu hifiki popote,hongera mudada ila wakukuwowa ajipange haswaaa maana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…