Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Yaani umeongea kweli mkuu yaani tuache kwanza msiba uishee nitakutafuta
 
Nampongeza Binti Mwakasege haijalishi Ni Co Pilot or what so long anaungurumisha Air bus
 

Jama jama, yaani saa hii tuna kazi ya kuwaelimisha wanawake. Rais wanasema ni wao wanawake, na si rais wa jamhuri.
 
Hii ni inferiority complex ya hali ya juu, kuona raisi amekuwa was kike basi povu linawatoka yeyote mwenye uwezo anaweza kuongoza taifa, Ni ukosefu wa akili kuchukulia sehemu ya mwili Kama privilege ya kujiona Bora kuliko mwingine, Piga kaz mama Wala usibabaishwe
 
Hana mtoto mmoja anao watano mmoja pekee alikuwa wa kiume na wote amezaa ktk ndoa takatifu na mkewe Diana
 

Thanks daddy ake....
 
A 380 imestaafishwa mkuu?
 
yap. refer case za samson na delila,
baraka huwa zinapungua au kuongezeka inategemea na unayekutana naye.
haya mambo kama sumaku, mwenye nguvu ndo anamvuta mwenzake
Kwa hiyo delila alimpa nuksi Samson?au Samson alimpa power delila?
 
Umenifurahisha mkuu...wanawake wengne hawataueelewa uandishi huu.ila mimi nassema wewe ni "Mwanaume unaejitambua. Hongera sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…