Jimbo lipo waziNaamini maswali yameisha.
View attachment 1732972
Wanawake mna matatizo Sana si ajabu huwa mnakufa hovyo kwenye mikutano uchwara ya wajasilia dini.Ni binti wa Mwl Mwakasege
Imenibariki sana hii habari
Hii nchi ina watu viazi balaa na ndio mtaji mkubwa wa maccmLabda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!
Utamaduni wa kukuza vitu vidogo umetujaa. Sio ajabu unaona jina la mkuu wa mkoa liko kwenye kibao cha ufunguzi wa matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi!! Tutaanza kuwaza mambo makubwa lini??
imefail kufikia matarajio hazizalishwi tena kiwandani. B747 ndio makampun mengi wamezistaafishaA 380 imestaafishwa mkuu?
Nikupongeza juhudi...Ni kupotoka kupigia kelele hilo basi.
Umenifurahisha mkuu...wanawake wengne hawataueelewa uandishi huu.ila mimi nassema wewe ni "Mwanaume unaejitambua. Hongera sana!!
Sio ulokole tu wa kufuata mkumbo bali ule wa kumjua MunguKweli ukiwa mlokole mambo yako yanakunyookea
Usinichoshe babu weee tuko Ikulu saivi na ndege ndo tusharushaWanawake mna matatizo Sana si ajabu huwa mnakufa hovyo kwenye mikutano uchwara ya wajasilia dini.
Hapo kipi kimekubaliki?
Wapi nimeandika nimeona maajabu? Stop being such a mindless cretin!Vitu vya kawaida sana hv.....
washamba kama ww ndio wanaona maajabu!
Naam Anko [emoji4][emoji4] [emoji16][emoji16]Halafu na wewe si wa Ipinda ???
Mchukue dereva bodaboda akaendeshe Ndege mkuuRubani ni dereva kama walivyo dereva Bodaboda,sasa hapo kinachongaza sijui ni kipi.
Sasa kitu gani kina mpa huo upekee??kwani (gender?)haya mambo ndio yanamfanya mwanamke wa kiafrika kuonekana ni kiumbe dhaifu!!hao walio ubeba mwili wake kwenye gari nao mbona hamuwaongelei?!!!au kwa kuwa ni wanaume??hadi wengine wanapendekeza ndio awe anamuendesha rais!!kuanzia sasa, wanafikiria ndege ni kama gari mtu anakupa tu ufunguo hebu kani amushie gari langu kesho!!huko sio mambo hayo, mtu anaendesha dude, lakini akipewa ndege aina nyingine lazima apigwe kwanza brush!!HONGERA YAKE KAMA PILOT.Hakika huyu dada historia itambeba.
Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.
Mwisho umekubaliSasa kitu gani kina mpa huo upekee??kwani (gender?)haya mambo ndio yanamfanya mwanamke wa kiafrika kuonekana ni kiumbe dhaifu!!hao walio ubeba mwili wake kwenye gari nao mbona hamuwaongelei?!!!au kwa kuwa ni wanaume??hadi wengine wanapendekeza ndio awe anamuendesha rais!!kuanzia sasa, wanafikiria ndege ni kama gari mtu anakupa tu ufunguo hebu kani amushie gari langu kesho!!huko sio mambo hayo, mtu anaendesha dude, lakini akipewa ndege aina nyingine lazima apigwe kwanza brush!!HONGERA YAKE KAMA PILOT.
Nimempongeza kwa kazi yake, na sio jinsi yake!!!Mwisho umekubali
SawaNimempongeza kwa kazi yake, na sio jinsi yake!!!
Kwa jicho la kawaida delila alimpa nuksi mzee samson, ila delila alikuwa kwenye mpango maalumKwa hiyo delila alimpa nuksi Samson?au Samson alimpa power delila?
Ha ha na SA hawajawahi kuwa na B777,na wameachana na 747 muda mrefu tu....humu JF kila mtu anajua..Wabongo jamani kwa uongo
Anna hajawahi fanya kazi SAA na kurusha au kuendesha ndege kubwa kama Boeing 747, Boeing 777 na Airbus A340. Anna hajawahi fanya ratings ya B747 au B777 au Airbus 340.. Jet yake ya kwanza kurusha ndio hiyo Airbus A220-300 ya Air Tanzania.. South Africa alienda kusomea CPL tu na kurudi Tanzania. Msiandike vitu hamvijui vizuri. Na kumrusha kiongozi ni jambo la kawaida sana, sio kwamba yeye Anna ndio kaaminiwa kuliko marubani wengine, isitoshe hapo yeye ni First Officer tu, Capt ndio anaruka kwenye shughuli kama hiyo, hapo yeye anabaki kwenye radio.. Sijui mnaelewa? Labda sbb ya gender ndio mnampa publicity, but she is not special in any case ni sawa na marubani wengine wanaoruka hiyo A220-300
Mkiandika mjue vema unaandika nini, yaani unaandika uongo eti ana rusha B747, B777 & A340, hana hizo ratings, na SAA hajawahi fanya kazi hata kidogo, na flight school alifanyia South Africa na kupata CPL tu na hadi leo ana Commercial Licence.. So msindike hovyo vitu kama hujui vema
Mwambie akutake radhi fastaNakuona wewe ni mgeni wa hili jukwaa,
Yaani unaniita mimi ni MATAGA?
Nilishamwambia mkuu kweli akanionba samahani kiungwana.Mwambie akutake radhi fasta