Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!

Utamaduni wa kukuza vitu vidogo umetujaa. Sio ajabu unaona jina la mkuu wa mkoa liko kwenye kibao cha ufunguzi wa matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi!! Tutaanza kuwaza mambo makubwa lini??
Hii nchi ina watu viazi balaa na ndio mtaji mkubwa wa maccm
 
Hakika huyu dada historia itambeba.

Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.

Sasa kitu gani kina mpa huo upekee??kwani (gender?)haya mambo ndio yanamfanya mwanamke wa kiafrika kuonekana ni kiumbe dhaifu!!hao walio ubeba mwili wake kwenye gari nao mbona hamuwaongelei?!!!au kwa kuwa ni wanaume??hadi wengine wanapendekeza ndio awe anamuendesha rais!!kuanzia sasa, wanafikiria ndege ni kama gari mtu anakupa tu ufunguo hebu kani amushie gari langu kesho!!huko sio mambo hayo, mtu anaendesha dude, lakini akipewa ndege aina nyingine lazima apigwe kwanza brush!!HONGERA YAKE KAMA PILOT.
 
Mwisho umekubali
 
Wabongo jamani kwa uongo

Anna hajawahi fanya kazi SAA na kurusha au kuendesha ndege kubwa kama Boeing 747, Boeing 777 na Airbus A340. Anna hajawahi fanya ratings ya B747 au B777 au Airbus 340.. Jet yake ya kwanza kurusha ndio hiyo Airbus A220-300 ya Air Tanzania.. South Africa alienda kusomea CPL tu na kurudi Tanzania. Msiandike vitu hamvijui vizuri. Na kumrusha kiongozi ni jambo la kawaida sana, sio kwamba yeye Anna ndio kaaminiwa kuliko marubani wengine, isitoshe hapo yeye ni First Officer tu, Capt ndio anaruka kwenye shughuli kama hiyo, hapo yeye anabaki kwenye radio.. Sijui mnaelewa? Labda sbb ya gender ndio mnampa publicity, but she is not special in any case ni sawa na marubani wengine wanaoruka hiyo A220-300

Mkiandika mjue vema unaandika nini, yaani unaandika uongo eti ana rusha B747, B777 & A340, hana hizo ratings, na SAA hajawahi fanya kazi hata kidogo, na flight school alifanyia South Africa na kupata CPL tu na hadi leo ana Commercial Licence.. So msindike hovyo vitu kama hujui vema
Ha ha na SA hawajawahi kuwa na B777,na wameachana na 747 muda mrefu tu....humu JF kila mtu anajua..
 
Katika Thread kama hizi ndo namkumbuka mzee wangu barafu muda mrefu sijaona michango yake humu jukwaani
 
Back
Top Bottom