Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Not fat, boss! She's a bit thick๐๐๐๐But she is fat
Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!...
no body cares if she fat. she is qualified pilotBut she is fat
nilichotaka kusema kimerudi nimebaki kucheka tu! labda mwingine aropoke!Alikuwa rubani wa kikwete pia, kitambo sana huyu
Hee kumbe hyu binti walisaidiana na beberu kumsafirisha marehemu!Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
Nimeshindwa kumuelewa mleta mada, labda ni mtoto, au ni wa kuja, au kweli anajua ila basi tu u-feminism wakenilichotaka kusema kimerudi nimebaki kucheka tu! labda mwingine aropoke!
Wanawake wakipata makalio hulia mbatatatatatatatat!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu kuna Mwanamke nimemtongoza Jana na alichonijibu najua Mwenyewe ila mwishoni akaonyesha Jeuri na Kiburi fulani hivi kwa Kutumia Urais wa sasa wa Mwanamke mwenzao Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alinikera mno tu yaani Kumtongoza Kwangu kumehusiana nini na Urais wa Mama Samia? Wanaume tuwe Makini sana tu.
Samson...ndiye alimpa power delila...utatoaje siri uliyopewa na Mungu?? ..... alijipa nuksi..mwenyewe kwa kumkaidi Mungu!Kwa jicho la kawaida delila alimpa nuksi mzee samson, ila delila alikuwa kwenye mpango maalum
Ninyi ndiyo wale watata๐๐๐Naam Anko [emoji4][emoji4] [emoji16][emoji16]
Kumbe mwakasege ni mzee?!!!.Huyo mdada anaonekana kukomaa uso kiasi Fulani.MashaAllah View attachment 1731965
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchukue dereva bodaboda akaendeshe Ndege mkuu
Ni binti yake,mara nyingi mzee Mwakasege huwa anamzungumzia huyu binti yakeIla nadhani siyo Christopher Mwakasege.Maana anaitwa Ana Tusajigwe
SUkiona vyaelea ujue vimeundwa๐
Acha Wivu, tunampongeza Kwa Ujasiri wa Kurusha Ndege angani tena iliyobeba Mwili wa Hayati Rais aliyekufa akiwa Madarakani. Kama mdada anastahili kusifiwa na kuoneshwa Kwa Watanzania. Pongezi Anna Mwakasege. Wewe ni mrithi wa Elizabeth Olotu ambaye Millennial wa hapa If hawakupata kumsikia.Tokea siku Mwili wa aliyekua Rais wa JMT dkt. John Magufuli uagwe dodoma hatimae Zanzibar na Mwanza kumekua na picha ikizunguka ikimuonyesha dada ambaye inasemekana ni mtoto wa mchungaji maarufu nchini kua ameweka historia ya kurusha ndege iliyobeba mwili wa Rais. Sasa hii imeendele kuenea kila kona na kila mtu akimwaga sifa kedekede.
Binafsi shida nnayoiona ni kutaka kugeuza kila jambo kua habari kubwa, yaani kama ndio mwanamke wa kwanza kurusha ndege, na hii kwangu inanifanya nione kua sasa watu wanafikiri wanahamasisha kina dada lkn huku ni kuwatisha na kuwaonyesha kwamba hizi fani ni kwa watu gifted tu kumbe huko duniani ni mambo ya kawaida sana, bahati mbaya hili jambo limesambaa mpaka ktk page za watu maarufu, vyombo vya habari, hii inatufanya tuonekane washamba kwa kushadadia mambo haya ktk karne ya 21.
View attachment 1734013
Mzee km umri gani? Dada kwa kukusia yupo kwenye middle 30'sKumbe mwakasege ni mzee?!!!.Huyo mdada anaonekana kukomaa uso kiasi Fulani.
Umeona USO Tu uliokomaa!??!! Sisi tunaangalia Uwezo na Ujuzi siyo Personality au Physical appearance ya Mtu.Kumbe mwakasege ni mzee?!!!.Huyo mdada anaonekana kukomaa uso kiasi Fulani.
Sasa Airbus wanadege gani tena?imefail kufikia matarajio hazizalishwi tena kiwandani. B747 ndio makampun mengi wamezistaafisha