Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Ila tumekua wajinga sana yaani tunapongeza kila kitu kama mazwazwa, sasa kuna ajabu gani kwa mwanamke kurusha ndege? Kwani ndiye binti wa kwanza kurusha ndege? Duniani huko mabinti wa miaka 23 wanarusha ma Boeing na Airbus mbona hawajimwambafy? Tupunguze ujinga mwisho sasa tutaanza kusifia ujinga na kujifunua kua hatuna akili. By the way hizi mentality ndio zinachochea kinadada kujiona wanyonge mkijua mnawasaidia maana mnageuza kitu kidogo kua kikubwa mpaka na wengune wataogopa kuendea hizo fani kwa kuona ni za watu gifted. Tuache Ulimbukeni
 
Ushamba tu na ulimbukeni mkuu
Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!...
 
Tokea siku Mwili wa aliyekua Rais wa JMT dkt. John Magufuli uagwe dodoma hatimae Zanzibar na Mwanza kumekua na picha ikizunguka ikimuonyesha dada ambaye inasemekana ni mtoto wa mchungaji maarufu nchini kua ameweka historia ya kurusha ndege iliyobeba mwili wa Rais. Sasa hii imeendele kuenea kila kona na kila mtu akimwaga sifa kedekede.

Binafsi shida nnayoiona ni kutaka kugeuza kila jambo kua habari kubwa, yaani kama ndio mwanamke wa kwanza kurusha ndege, na hii kwangu inanifanya nione kua sasa watu wanafikiri wanahamasisha kina dada lkn huku ni kuwatisha na kuwaonyesha kwamba hizi fani ni kwa watu gifted tu kumbe huko duniani ni mambo ya kawaida sana, bahati mbaya hili jambo limesambaa mpaka ktk page za watu maarufu, vyombo vya habari, hii inatufanya tuonekane washamba kwa kushadadia mambo haya ktk karne ya 21.

Screenshot_20210325-113116.jpeg
 
nilichotaka kusema kimerudi nimebaki kucheka tu! labda mwingine aropoke!
Nimeshindwa kumuelewa mleta mada, labda ni mtoto, au ni wa kuja, au kweli anajua ila basi tu u-feminism wake
 
Ndugu kuna Mwanamke nimemtongoza Jana na alichonijibu najua Mwenyewe ila mwishoni akaonyesha Jeuri na Kiburi fulani hivi kwa Kutumia Urais wa sasa wa Mwanamke mwenzao Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alinikera mno tu yaani Kumtongoza Kwangu kumehusiana nini na Urais wa Mama Samia? Wanaume tuwe Makini sana tu.
Wanawake wakipata makalio hulia mbatatatatatatatat!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
I like chocolate and thick women

I like Anna

Ningepata nafasi ningetangaza ndoa moja kwa moja sina shaka na malezi yake

Na ningekuwa mume bora ,mcha MUNGU kushinda hata baba yake[emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwa jicho la kawaida delila alimpa nuksi mzee samson, ila delila alikuwa kwenye mpango maalum
Samson...ndiye alimpa power delila...utatoaje siri uliyopewa na Mungu?? ..... alijipa nuksi..mwenyewe kwa kumkaidi Mungu!
 
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa😃
S
Tokea siku Mwili wa aliyekua Rais wa JMT dkt. John Magufuli uagwe dodoma hatimae Zanzibar na Mwanza kumekua na picha ikizunguka ikimuonyesha dada ambaye inasemekana ni mtoto wa mchungaji maarufu nchini kua ameweka historia ya kurusha ndege iliyobeba mwili wa Rais. Sasa hii imeendele kuenea kila kona na kila mtu akimwaga sifa kedekede.

Binafsi shida nnayoiona ni kutaka kugeuza kila jambo kua habari kubwa, yaani kama ndio mwanamke wa kwanza kurusha ndege, na hii kwangu inanifanya nione kua sasa watu wanafikiri wanahamasisha kina dada lkn huku ni kuwatisha na kuwaonyesha kwamba hizi fani ni kwa watu gifted tu kumbe huko duniani ni mambo ya kawaida sana, bahati mbaya hili jambo limesambaa mpaka ktk page za watu maarufu, vyombo vya habari, hii inatufanya tuonekane washamba kwa kushadadia mambo haya ktk karne ya 21.

View attachment 1734013
Acha Wivu, tunampongeza Kwa Ujasiri wa Kurusha Ndege angani tena iliyobeba Mwili wa Hayati Rais aliyekufa akiwa Madarakani. Kama mdada anastahili kusifiwa na kuoneshwa Kwa Watanzania. Pongezi Anna Mwakasege. Wewe ni mrithi wa Elizabeth Olotu ambaye Millennial wa hapa If hawakupata kumsikia.
 
Back
Top Bottom