Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Linapokuja suala la msiba kawaida wanawake wanakuwa too emotional.

Kulia sana. Kukosa nguvu (kushindwa kujikaza) nk.

Ni kwamba bi dada kujikaza katika ku participate kwenye msiba huu wa kiongozi Mkuu wa kitaifa bila ya kusema I can't. Anastahiki sifa kwa kweli.

Isitoshe hii ni habari tu kama habari nyengine zinoletwa humu JF. Sijaona kama imezungumzwa kama Ni jambo la kihistoria.
 
Ni binti wa Mwl Mwakasege
Imenibariki sana hii habari
Habari imekubariki? Sijaelewa. Rubani kuendesha ndege ambaye ni kazi Yake wewe unarikiwaje? Isitoshe kila siku maelfu ya marubani wanarusha ndege hizo habari za hao nazo unabarikiwa?
 
Hakika huyu dada historia itambeba.

Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.

.https://www.instagram.com/p/CMuszSDLbRL3cGlceGUOg_05Q5I5_Dmxz9HuD00/?igshid=vgd923hzhfsm.View attachment 1731957
Ameshaenda mpaka dom to zenji na zenj to mwanza? Basi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…