Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Linapokuja suala la msiba kawaida wanawake wanakuwa too emotional.Labda nina tatizo la uelewa. Inakuwaje kuubeba mwili wa marehemu kuwa ni jambo la kihistoria??! Ninadhani ni kumbukumbu tu. Historia ni mama Samia kuwa Rais wa kwanza mwanamke!! Kama rubani huyu ndio wa kwanza wa kike, inawezeka kuwa historia!!
Utamaduni wa kukuza vitu vidogo umetujaa. Sio ajabu unaona jina la mkuu wa mkoa liko kwenye kibao cha ufunguzi wa matundu sita ya vyoo katika shule ya msingi!! Tutaanza kuwaza mambo makubwa lini??
Kulia sana. Kukosa nguvu (kushindwa kujikaza) nk.
Ni kwamba bi dada kujikaza katika ku participate kwenye msiba huu wa kiongozi Mkuu wa kitaifa bila ya kusema I can't. Anastahiki sifa kwa kweli.
Isitoshe hii ni habari tu kama habari nyengine zinoletwa humu JF. Sijaona kama imezungumzwa kama Ni jambo la kihistoria.