Kweli ukiwa mlokole mambo yako yanakunyookeaNdio kuna mtoto wake mwingine alikuwa world bank.
Jiongeze wewe MATAGA wa lumumba.Ameshaenda mpaka dom to zenji na zenj to mwanza? Basi balaa
Hivi wewe unaendesha aina gani ya ndege na upo shirika gani mkuu!Urubani ni kazi rahisi tu, isiwatoe roho. Sema tu inaonekana kama kitu cha kipekee kwa kuwa labda ni ndege. Dereva wa lori anaweza akawa ana kazi ngumu kuliko rubani
Anaita, sijui umpige saundi gani akuelewe?!Hakika huyu dada historia itambeba.
Ameendesha ndege iliyo mbeba Jpm kutoka dsm to Dodoma, Dodoma to Zanzibar, Zanzibar to Mwanza.
.https://www.instagram.com/p/CMuszSDLbRL3cGlceGUOg_05Q5I5_Dmxz9HuD00/?igshid=vgd923hzhfsm.View attachment 1731957
Dawa yake ni kunifanya mlokole tuAnaita, sijui umpige saundi gani akuelewe?!
Umeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...Jiongeze wewe MATAGA wa lumumba.
Ni kwamba hiyo kandarasi anayo yeye hadi mzee amezikwa.
Wewe MATAGA ebu tulia kwanza wacha watu wajadili mambo ya maana.Habari imekubariki? Sijaelewa. Rubani kuendesha ndege ambaye ni kazi Yake wewe unarikiwaje? Isitoshe kila siku maelfu ya marubani wanarusha ndege hizo habari za hao nazo unabarikiwa?
Tatizo lako hujiongezi na ndiyo supuuka kawaiteni manyaniUmeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...
Msela na ulokole havitangamani, kama maji na mafuta, siku mbili tu anakushtukia.Dawa yake ni kunifanya mlokole tu
Nimejaribu kutafuta u-special wa hii habari nikahisi labda mimi ndio nina tatizo mahala.Watanzania kwa kusifia vitu ambavyo ordinary hatuna mpinzani..It's 21st Century guys
Sasa hapo tatizo liko wapi wewe MATAGA?Umeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...
Naweza kuwa hata hausiboy wake sio shidaHiyo ndiyo njia rahisi sana lkn pia ujiandae na mkwanja wa kuingilia maana huyo mtoto atakuwa anavuta namba ndefu hapo ATCL
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji870]Naweza kuwa hata hausiboy wake sio shida
Mengine yatafuata[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ndiyo mentality iliyotawala, kwa kuwa marubani ni wachache kuliko madereva wa malori basi inaonekana kama ni kazi ngumu. Mimi siendeshi ndege yoyote, ila nipo kwenye radar za kuongozea ndege. Roger roger!Hivi wewe unaendesha aina gani ya ndege na upo shirika gani mkuu!
Bujibuji ni mweupe?Ndugu yake BUJIBUJI!!