Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Urubani ni kazi rahisi tu, isiwatoe roho. Sema tu inaonekana kama kitu cha kipekee kwa kuwa labda ni ndege. Dereva wa lori anaweza akawa ana kazi ngumu kuliko rubani
Hivi wewe unaendesha aina gani ya ndege na upo shirika gani mkuu!
 
Jiongeze wewe MATAGA wa lumumba.
Ni kwamba hiyo kandarasi anayo yeye hadi mzee amezikwa.
Umeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...
 
Ameolewa?

Nahitaji namba zake PM kama hamtajali, baada ya mazishi nitamtafuta.
 
Habari imekubariki? Sijaelewa. Rubani kuendesha ndege ambaye ni kazi Yake wewe unarikiwaje? Isitoshe kila siku maelfu ya marubani wanarusha ndege hizo habari za hao nazo unabarikiwa?
Wewe MATAGA ebu tulia kwanza wacha watu wajadili mambo ya maana.
 
Umeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...
Tatizo lako hujiongezi na ndiyo supuuka kawaiteni manyani
 
Baba yake aliwahi kusema mkuu aliepungukiwa huwaonea watu sana dah mwl mwakasege namheshimu sana.
 
Umeona upuuzi ulioandika lakini kwenye post yako? Ameenda dom to zenji na ameenda zenji to mwanza...una akili kweli wewe na unabisha kuwa uko sahihi...
Sasa hapo tatizo liko wapi wewe MATAGA?
 
Hivi wewe unaendesha aina gani ya ndege na upo shirika gani mkuu!
Ndiyo mentality iliyotawala, kwa kuwa marubani ni wachache kuliko madereva wa malori basi inaonekana kama ni kazi ngumu. Mimi siendeshi ndege yoyote, ila nipo kwenye radar za kuongozea ndege. Roger roger!
 
Back
Top Bottom