Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Hope alifanyiwa kama dr. Sebi
Wazungu syo watu wazur
Nilisikitika sana Sebi alivodead, na aliplan kuvisit Tanzania katika interview yake ya mwisho alimtaja sana jk mpaka nikahisi Matibabu yake ya tezi dume possibly aliyafanya kwa Dr Sebi....
Anyway legacy yake bado ipo.
Nimewahi jaribu one of his therapies, it works effectively.
 
Huyu deception alinifungua mambo mengi sana
 
Kumbuka ARV zimekuja majuzi tu, zaman hapo tulipoteza watu weng na walikufa kwa mateso meng ikiwa ni pamoja na kukonda sana

Tuambie nn kilikuwa kinawaua haraka vile
ARV hazijaja juzi.Fuatilia kwa makini.Kuna link imetumwa juu hapo kuna mengi unaweza jifunza
 
Mkuu. Hakuna MTU aliiyekufa kwa UKIMWI, hata wao wenyewe wanaoneza propaganda za HIV/AIDS wanasema kabisa haiui ila mtu anakufa kwa magonjwa nyemelezi. Kwa hiyo kila mgonjwa wa hi wanayosema HIV/AIDS anakufa kwa ugonjwa Fulani ambao unajulikana. Inawezekana ikawa malaria, TB au mengineyo.
 
Halafu PEP ni uongo mwingine. Ingekuwa ni kweli inazuia watu wasipate HIV basi kila MTU anayejihisi ameambukizwa ukimwi angeenda kuoewa PEP ili apone. Waliona madaktari wengi wanajivhoma na hizo sindano halafu hawapati hizo HIV Sasa ili kuficha hayo wakaamua kuanzisha PEP ili ioneka wamejichoma lakini hawakupata maambukizi kwa sababu wametumia PEP
 
Mdau..nifafanulie...kilichokuwa kinawamaliza wahaya miaka ile ya 88 hadi 95 ilikuwaga ni nn vile?!
 
Mwaka 2002/3....ulimwengu mzima uliambiwa na kuamini kwamba Marehem Sadam alikuwa na silaha za maangamizi na kwamba ni hatari kwa dunia. Miaka kadhaa baadae baada ya kuivuruga Iraq tukaja kuambiwa samah Sadam hakuwa WMD.

Moral of the story....dunia ya leo uwongo unanguvu kubwa sana...na ukijaribu kusema ukweli unaonekana mwendawazimu.

Binafsi naamini ukimwi/HIV ni nyoka mwenye makengeza. Someone is making alot of money out of it....
 
Na kama ndio hivo,waseme tu ukitumia PEP bas hupat ukimwi
 
Nimekuelewa sanaa mkuu bigup kwako[emoji109]
 
Hahahahh we ninja umeniacha hoi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…