Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe japo mimi najihusisha na sekta ya afya ipo hivi mwaka 2011 nilienda na kaka yangu temeke alikua na hali mbaya sana kupima aligundulika na TB na HIV hatukuamink tukapima hospital kadhaa majibu yakwa vilevile.sasa wakasema wataanza kutibu TB then ndo waje HIV kuzuia asilete madhara zaidi.
Kweli alitumia dawa za TB baada ya mda fulani akaanza kuwa sawa mpaka kupona..baada ya kupona akatakiwa kupewa ARVs bro alikataa kata kata na hakawa hatumii,,Mwaka 2013 mkewe akapata ujauzito na akajifungua mtoto nilifatilia kadi yake ya clinic alikua salama na mtoto hadi leo yuko salama na yeye mwenyewe ana afya na mkewe pia na hadi leo nikimuuliza anakwambia yeye ana amini ukimwi ni stori na atakufa kwa kingine sio ukimwi.Baba yangu mara kadhaa alikua ana mwita kumlazimisha mwisho wa siku ameona na yeye stori tu.
2014 Shangazi yangu na yeye alipata TB na kuambiwa ana HIV sasa wakati yupo hospital kuna dada mmoja akamwambia kama ataambiwa ana HIV asitumie zile dawa maana hata yeye aliaambiwa hivyo na hakutumia dawa na yuko fresh.akarudi home akasema na Mzee akamwambia afuatishe mfano wa kaka,mpaka leo yupo mzima wa afya na hatumii.
2005 Baba yangu mdogo aligundulika na HIV yeye na wake zake wawili.wakaanza kutumia dawa ilipofika 2006 aliaanza kuugua kuaharisha nk 23 august 2006 akafariki.
Mwaka unaofuata akafuatia mwanawe wa mwisho.
2008 mkewe mkubwa na yeye akaanza kuugua hatimaye akafariki.lakini mke mdogo yupo mpaka leo na anatumia dawa na mzima wa afya.
Nb:nimetoa ushuhuda wangu ili kuangalia huu ugonjwa unavyochanganya lakini kila mmoja kwa nafasi yake inapaswa asipuuze aweke 50/50 kisha afanye uchunguzi ajiridhishe japo kwa upande wangu naamini ukimwi upo ila kuhusu HIV bado kuna mkanganyiko kwangu..maana wanasema kuna mtu mwingime ana kaa hadi miaka 10 ndo anauaguani kitu ambacho hakiingii akilini maana tunaambiwa HIV anaua kinga za mwili na ni hatari sana,sasa kipindi chote hicho mtu awe salama wakati Malaria tu ndani ya wiki unapata habari