Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
nashukuru unavomuuliza maswali ambayo ndio hata mimi ninahitaji kujua lakini inavoonekana amekariri kwa kusoma sehemu,
mbona mwanandoa akitoka nje ya ndoa na kutembea na mwenye ukimwi akirudi ndani ya ndoa humwambukiza mwenzake? na baada ya muda hufa wote hadi yule aliechepuka na mmoja wa wanandoa hao?

asitake kudanganya uma hapa
Mie nawa fahamu personally watu kadhaa baba ana ngwengwe mama hana au Mama ana ngwengwe na baba hana na miaka inaenda
 
Hivi dozi moja ya ARV ni shilingi ngapi? Na ni kampuni ipi hapa duniani/nchini waliokula hii tenda?
Wizara ya Afya ndo wanazinunua hizo mkuu, kwa bei sijajua

Ila vya kununua ni vingi sana kuanzia madawa mpk vifaa vya vipimo mbal mbali
Kwanini wanazitoa bure kwa raia wao? Kama wanajua ni ugonjwa fake kwanini wananunua? Wanalazimishwa?
 
maranyingi ukipima hata ka ulikuwa na matatizo au ugonjwa kinga za mwili zinaweza kuwa chini na ikiwa chini tuu tafsiri yake ni kuwa una HIV, ila hukimbilia kushauri watu kupima ka wana HIV waanze dawa mapema, na hapo ndipo watu huanza kuua na kujimaliza maana ukigusa ARV tuu unawa ka mtu aliye tumia madawa ya kulevya kwa muda yani ukiacha ndipo unakufa haraka tofauti na mtu ambaye alikuwa hajatumia. katika bei ni serikali ndiyo inanunua na kuwapatia wanachi, kama wachangiaji wengine walivyosema kinachoua ni magonjwa mengine kwahiyo ukitibiwa hayo na ukala vizuri ukafanya mazoezi na kupumzika ipasavyo utaishi miaka mingi kiasi kikubwa tofauti na hizidawa tupewazo maana dawa zikizidi mwilini zinajenga sumu taratibu mwisho tunakufa kibudu kutokana na simu kwenye ini na viungo vingine, yani ukiumwa kaugonjwa kadogo unapondoka maana mwili unakuwa na sumu nyingi zitokanazo na dawa hizo
Yaani mi navurugwa kabisa... Sielewi... Hebi nieleweshe mkuu, ni kwanini serikali inanunua dawa kwa gharama kubwa halafu inawapatia wananchi wake wazitumie ilhli wanajua zinawaangamiza! Ni kwafaida ipi kuna haja gani kuwa na taifa? Au hawajui kuwa inadhuru?
 
Nimewahi kusoma mada zake saaaaaaaaaaana ila sijawahi kuchangia, the guy anaongea the naked truth ila sababu timeshawekwa kwenye zone mbaya that's why tunampinga ila in reality there's nothing as UKIMWI
Watu wanakondeana na nini jamani ?
 
Siku zote huwa naamini kuwa ukiona Amani ipo sehemu Fulani ujue kuna watu wamekubali kuwa misukule wa ki fikra,wamekubali kuwa wajinga wa kifikra! Hata viongozi wetu wame Tu mind control ndio maana wanaongoza Hadi miaka Yao inaisha na wanapeana na madaraka nikitoka Mimi fuata mtoto wa mjomba kuongoza hawa matutusa,kama binadam wote tungekuwa na akili zetu tulizo pewa na Mungu duniani kungetokea vitu viwili aidha vita Sana au Amani yenye tija na ya kweli toka mioyoni
 
HIV ni retrovirus.Retrovirus huyu amebambikiziwa jina hili la HIV ili aonekane ana sifa za kusababisha AIDS kitu ambacho si kweli.HIV is a political and commercial/business name,watu wawili tu wamekaa na kuamua apewe jina hilo bila hata single scientific proof/paper published kuthibitisha ukweli huo.Hakuna ugonjwa unaoitwa AIDS unaosababishwa na HIV.Najua hili ni jambo geni kwa wengi,ila ndio ukweli.

Nakaribisha mtu yeyote mwenye mashaka au anayepinga hili na hasa madaktari ndio target yangu maana wao wamelishwa sumu hii wakiwa masomoni.HIV free generation ni ile tu inayojua ukweli ulivyo.

Na ndio maana contradictions haziishi kuhusu ugonjwa huu feki.Karibuni kwenye mjadala ambao utakuondoa kwenye utumwa wa kifikra.
Deception!
1.Ukimwi hauambukizwi
2.Ukimwi hauambukizwi kwa njia ya ngono
3.HIV hawezi kusababisha ukimwi na hasababishi ukimwi kwa kuwa hana sifa ya kusababisha ukimwi.Nashauri tujitahidi kwenda nje ya mainstream kutafuta habari,mambo mengi tunayoyafahamu kwenye dunia hii hayapo kama tunavyoyaona au kuyasikia,na mambo yamewekwa hivyo kwa sababu maalum kabisa.Anayesikia haya kwa mara ya kwanza atadharau au kufunga milango yake ya fahamu,kufunga milango ya fahamu hakubadilishi ukweli kuwa uongo,ukweli utabaki palepale.
Ukielewa ukweli kuhusu jambo hili utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayeogopa HIV ni sawa na kuogopa kivuli chake mwenyewe.Kama una swali lolote ambalo unadhani lina utata kuwa huru kuuliza.Nimetimiza wajibu wangu kutoa dokezo,kama mtu ana dukuduku/swali awe huru kuniuliza.

Hebu gusa link hapo chini kwa kuanzia;

Deception!
HIV/AIDS ni feki kwa kuwa AIDS haisababishwi na HIV na HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS na ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana sasa,mara watu hukwambia "ni vigumu sana kupata HIV kwa kufanya ngono",ukweli ni kwamba HIV haambukizwi kwa njia ya ngono.Wengine husema "kuna watu wana HIV lakini hawadhuriki" watu hawa huitwa carrier,huu ni uongo pia,kila mtu hawezi kudhurika na HIV,hata wewe pia.Walichofanya hawa jamaa wamefanya utafiti ni contradiction gani inajitokeza kwenye uongo huu waliotulisha halafu wakatafutia majibu yake ili kuendelea kuwapa watu imani kwamba kweli VVU/Ukimwi upo na unaua ilihali kinachoua ni ARVs.
Vipimo vyake ni feki kwa sababu havipimi HIV mwenyewe kwa muonekano kama ilivyo kwenye baadhi ya magonjwa kama vile malaria,TB au Typhoid.Walikataa kutuia electronic microscope kwa kuwa wenyewe wanajua kwamba HIV ni feki,haonekani.Na ndio maana hadi leo hii muulize daktari yeyote ambaye unamwamini wewe ni kichwa kama kashawahi kumuona HIV hata kwa kutumia vyombo vyao katika maisha yake yote ya udaktari,atakwambia hajawahi kumwona,sasa kama hajawahi then nini tunachokiamini basi?Ile picha ya HIV kwenye vitabu vyao waliipata wapi?Vipimo hivi hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ambazo zinaaminika zinatoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee,kuna mambo mengine ndani ya mwili huweza kuzalisha protini hizo na mtu akaonekana ana HIV kwa kutumia vipimo hivi(kumbuka bado kwamba HIV hasababishi ukimwi).Mojawapo ya mambo hayo ni magonjwa mbalimbali kama vile TB,hali ya mimba kwa wanawake pia husababisha kuzalishwa/kutolewa kwa protini hizo.Haya ninayoongea kamwambie daktari yeyote yule mwelewa hatapinga.
Deception!
Kabla ya kutoa uthibitisho wangu,ninyi wenyewe wana JF mnatoa uthibitisho.Hakuna chanjo ya ukimwi.Hata mimi naweza kutembea na mtu anayetumia ARVs bila kinga mara nyingi na naweza pia kujikata na kujiwekea damu ya mtu huyo na siwezi kupata ukimwi/VVU.By nature,ugonjwa huu haupo,ila jamaa wametumia akili nyingi tu kudanganya watu,wametumia uongo wa kisayansi ili watu waamini kama kweli ugonjwa huu wa HIV/AIDS upo kitu ambacho si kweli.Watu wanajua kwamba AIDS inasababishwa na HIV hivyo mtu hupewa ARVs,kumbe ARVs baada ya muda fulani ndio husababisha AIDS,hili watu wamefumbwa,hawalijui.Na kama mtu yeyote anaumwa na hatumii ARVs basi lazima atakuwa na tatizo la msingi linamsumbua na akipewa dawa husika anapona kabisa na haitajia kula ARVs maisha yake yote hata kama ameonekana ana HIV
Mkuu naona ni bora ungeweka link kuhusi huo mjadala then watu wasome wenyewe hiso comments za DECEPTION. Nahisi unapata tabu kukopi na kupesti...!
Natanguliza salamu
 
Mkuu ukiangalia kuna watu wanasema walipata HIV miaka minane nyuma hawakuwahi kutumia ARVs na wapo fiti mpaka leo,lakini waliotumia miaka mitatu tu nyuma tayari washachoka.
 
Nilikuwa Holland kwenye training moja ya HIV,wale wana REGIME 11 za dawa za ARV na hizo dawa zote ni tofauti kabisa na za huku Afrika,yaani kwa daktari wa Afrika hauwezi kumtibu mgonjwa kwa dawa zile.Tulipowauliza kwa nini hizi dawa Afrika hazipo jibu ni kuwa eti hatutaweza kuzinunua.Nadhani umefika muda sasa wa kujiuliza kwa nini dawa za Afrika na kule ni tofauti kabisa.Nafuatilia kwa karibu sana utafiti huu na nawaombeni madaktari wenzangu tusipuuze ebu tuchanganye ubongo tufuatilie, nahisi kuna ukweli fulani kwenye swala hili.
 
Nashauri tu tuwe makini lakin kusema ukweli kuna ukweli tumefichwa katika hili kuanzia ugunduzi,vipimo mpaka dawa kuna walakini mkubwa hata kwenye mazingira halisia, ukimwi ungekuwa kama tunavyofundishwa mashuleni trust me hii dunia ingekuwa ishaisha kabisa mpaka sasa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom