Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Mie nawa fahamu personally watu kadhaa baba ana ngwengwe mama hana au Mama ana ngwengwe na baba hana na miaka inaenda
 
Hivi dozi moja ya ARV ni shilingi ngapi? Na ni kampuni ipi hapa duniani/nchini waliokula hii tenda?
Wizara ya Afya ndo wanazinunua hizo mkuu, kwa bei sijajua

Ila vya kununua ni vingi sana kuanzia madawa mpk vifaa vya vipimo mbal mbali
Kwanini wanazitoa bure kwa raia wao? Kama wanajua ni ugonjwa fake kwanini wananunua? Wanalazimishwa?
 
Yaani mi navurugwa kabisa... Sielewi... Hebi nieleweshe mkuu, ni kwanini serikali inanunua dawa kwa gharama kubwa halafu inawapatia wananchi wake wazitumie ilhli wanajua zinawaangamiza! Ni kwafaida ipi kuna haja gani kuwa na taifa? Au hawajui kuwa inadhuru?
 
Nimewahi kusoma mada zake saaaaaaaaaaana ila sijawahi kuchangia, the guy anaongea the naked truth ila sababu timeshawekwa kwenye zone mbaya that's why tunampinga ila in reality there's nothing as UKIMWI
Watu wanakondeana na nini jamani ?
 
Siku zote huwa naamini kuwa ukiona Amani ipo sehemu Fulani ujue kuna watu wamekubali kuwa misukule wa ki fikra,wamekubali kuwa wajinga wa kifikra! Hata viongozi wetu wame Tu mind control ndio maana wanaongoza Hadi miaka Yao inaisha na wanapeana na madaraka nikitoka Mimi fuata mtoto wa mjomba kuongoza hawa matutusa,kama binadam wote tungekuwa na akili zetu tulizo pewa na Mungu duniani kungetokea vitu viwili aidha vita Sana au Amani yenye tija na ya kweli toka mioyoni
 
Deception! Deception! Deception! Mkuu naona ni bora ungeweka link kuhusi huo mjadala then watu wasome wenyewe hiso comments za DECEPTION. Nahisi unapata tabu kukopi na kupesti...!
Natanguliza salamu
 
Mkuu ukiangalia kuna watu wanasema walipata HIV miaka minane nyuma hawakuwahi kutumia ARVs na wapo fiti mpaka leo,lakini waliotumia miaka mitatu tu nyuma tayari washachoka.
 
Nilikuwa Holland kwenye training moja ya HIV,wale wana REGIME 11 za dawa za ARV na hizo dawa zote ni tofauti kabisa na za huku Afrika,yaani kwa daktari wa Afrika hauwezi kumtibu mgonjwa kwa dawa zile.Tulipowauliza kwa nini hizi dawa Afrika hazipo jibu ni kuwa eti hatutaweza kuzinunua.Nadhani umefika muda sasa wa kujiuliza kwa nini dawa za Afrika na kule ni tofauti kabisa.Nafuatilia kwa karibu sana utafiti huu na nawaombeni madaktari wenzangu tusipuuze ebu tuchanganye ubongo tufuatilie, nahisi kuna ukweli fulani kwenye swala hili.
 
Nashauri tu tuwe makini lakin kusema ukweli kuna ukweli tumefichwa katika hili kuanzia ugunduzi,vipimo mpaka dawa kuna walakini mkubwa hata kwenye mazingira halisia, ukimwi ungekuwa kama tunavyofundishwa mashuleni trust me hii dunia ingekuwa ishaisha kabisa mpaka sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…