Nyie ni wasaliti kutoka kitambo. Hamna jipya.WTO ni kwa wenye akili si kwa Wapumbavu kama nyie mnasaini MOU ya upimaji wa madereva kwa nchi husika halafu ghafla mnajeuka. Forget about support from Tanzania n the EAC in general.
Hahahaha, Hahahaha. Tujipe moyo lakini sidhani kama Amina anamfikia Ngozi hata kwa 20%Ndio. Amina ana uzoefu wa kufanya kazi WTO. Ngozi hajawahi kufanya kazi huko
Acha tujaribu tuone Kama tutafika.Hahahaha, Hahahaha. Tujipe moyo lakini sidhani kama Amina anamfikia Ngozi hata kwa 20%
View attachment biography_aminamohamed_kenya_e.pdfHahahaha, Hahahaha. Tujipe moyo lakini sidhani kama Amina anamfikia Ngozi hata kwa 20%
Ya Amina ndio hio.View attachment biography_aminamohamed_kenya_e (2).pdfYa amina je
Ukiapply kazi, una advantage kubwa kama umewahi kufanya kazi katika sector husika hata kama una degree tu. Mtu mwingine akija na Phd lakini katika area tofauti atafukuzwa kwa sababu hana uzoefu unaohitajika. Experience ni muhimu kushinda certificateHahahaha, Hahahaha. Tujipe moyo lakini sidhani kama Amina anamfikia Ngozi hata kwa 20%
Sio kufanya tu kazi WTO, alikuwa mwanamke wa kwanza kwenye uongozi wa ngazi za juu za WTO. Amina Mohammed was the first woman to chair The WTO General Council in 2005. Amina was also the first woman to lead the three most important bodies of The WTO. Will Kenya’s Amina Mohamed be the WTO’s first African leader? | The Africa Report.comNdio. Amina ana uzoefu wa kufanya kazi WTO. Ngozi hajawahi kufanya kazi huko
Amina hana ubavu kwa Ngozi, kuwalinganisha ni kosa kama kupambanisha heavy weight na feather weight.Amina Mohammed alikuwa boss huko WTO. Anajuana na kila mtu huko. Makanyamba ni huyu mama mwizi wa Nigeria. Ana scandal kubwa huko Nigeria
Yaani umsapoti Amina wakati kuna a "pedestal " of formidable academic excellence kutoka Nigeria?? Africa ni moja na tusibaguane.Nyie ni wasaliti kutoka kitambo. Hamna jipya.
Kwa hio unataka Amina apewe kwa upendeleo bila merits...?I see Amina is qualified zaidi kwa sababu mbili. Moja experience yake na WTO na UNEP at a global level. Pili she is a diplomat a skill you will always need kwenye top world organisations.
Kama ingekuwa ni Mimi nachagua ningemchagua Amina. Na for now position ya US over Nigerians is constrained na Uhusiano hafifu kati ya Treasury Secretary na AfDB President.
Naona Amina akichukua kiti kilaini.
Asante kwa kuwa mkweli. Geza Ulole wivu haitakusaidia. Amina alikuwa tayari mkubwa sana huko WTO. Hebu kasome CV yake.
Kwani umesahau kuwa Kenya wizi ni hueshimiwajoto la jiwe,
Ni mwizi alikuwa anadaiwa kaiba pesa kutoka serikali ya Nigeria
Sasa kwa Kenya ukiwa mwizi ndiyo unatambuliwa rasmi kuwa ni "muheshimiwa" ni CV kuu kuliko zote nchini Kenya inayo pewa heshima iliyo tukukaAmina Mohammed alikuwa boss huko WTO. Anajuana na kila mtu huko. Makanyamba ni huyu mama mwizi wa Nigeria. Ana scandal kubwa huko Nigeria
Mwenzako ameshakuelezea Amina ana more merits kushinda Ngozi wa Nigeria. Ama pengine hujui neno merit ina maana gani.Kwa hio unataka Amina apewe kwa upendeleo bila merits...?
Kwahiyo kufanya kazi Ikulu ni sifa moja wapo ya kuwa rais?Mwenzako ameshakuelezea Amina ana more merits kushinda Ngozi wa Nigeria. Ama pengine hujui neno merit ina maana gani.
Kufanya kazi Ikulu sio sifa ya kuwa raisSio kufanya tu kazi WTO, alikuwa mwanamke wa kwanza kwenye uongozi wa ngazi za juu za WTO. Amina Mohammed was the first woman to chair The WTO General Council in 2005. Amina was also the first woman to lead the three most important bodies of The WTO. Will Kenya’s Amina Mohamed be the WTO’s first African leader? | The Africa Report.com
Hizo experiences sio merits?Kwa hio unataka Amina apewe kwa upendeleo bila merits...?