Huyu ndiye Dr. Ngozi wa West Africa (Nigeria), anayepambana na Amina Mohammed toka Afrika Mashariki (Kenya)

sasa kama alikuwa huko amesahau nini kurudi huko? Wacheni ujinga aiseee!
Kuna mambo mengine ambayo kwa maoni yangu tukijibizana kuyahusu itakuwa ni utoto na upumbavu. Wote ni waafrika na WTO hadi sasa hivi haijapata kiongozi kutoka bara hili. May the best person for job win. Lakini ingependeza zaidi kama kungekuwa na wengine pia kutoka Afrika Mashariki ambao wanawania nafasi hiyo.
 
Mpaka sasa kuna watatu, Amina, Ngozi na mmoja kutoka Misri. Wamisri tayari walikuwa wameanza fitna Ngozi atolewe on technical ground as Nigeria walikuwa tayari wamependekeza mtu mwingine kabla ya kubadili mawazo, wagombea wengi watasababisha kura kugawanyika.
 
Back
Top Bottom