Kuna mambo mengine ambayo kwa maoni yangu tukijibizana kuyahusu itakuwa ni utoto na upumbavu. Wote ni waafrika na WTO hadi sasa hivi haijapata kiongozi kutoka bara hili. May the best person for job win. Lakini ingependeza zaidi kama kungekuwa na wengine pia kutoka Afrika Mashariki ambao wanawania nafasi hiyo.