Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Prof Maurice Bucaille ambaye umemtaja hapo aliuona ukuu wa Mungu na akathibitisha ule ni mwili wa Firauni aliyetajwa katika vitabu vitakatifu. Prof. huyo baadaye alisilimu na kuwa Muislamu safi.
 
Alikuwa akijiita Mungu. Logic ipo simple tu.Allah aliuokoa mwili wake ili watu waje kuuona na kusadikisha kuwa hakuwa Mungu kwani amekufa. Kumbuka kuna watu walikuwa wakimuabudu.
Huu upupu hua mnafundishwa Wapi nyie watu?
Hiyo ni Mumification ya accient civilization Hiyo ni Moja ya Teknolojia kati ya Teknolojia za Hali ya juu hapo kale kumbuka Wamisri walipewa ustaarabu wa high advanced technology na Sirians wa kale waliopata kutembelea Dunia

Sirian au Star child ni Moja ya Aliens walioanzisha ustaarabu Misri na Meso America pia Hawa walikua ni time traveler Toka kale wakiutembelea Ulimwengu wote na kueneza ustaarabu wa Orion's

Au utaweza waita child from Sirius Planets,child of true love,time traveler to Galactic civilizations!

Someni mpate maarifa!
 
Kutokuoza kwa maiti ya huyo hayati ni kwa kuwa misri ya wakati huo walikuwa akifanya mummyfication
Hayati Ramsesse II hawezi kuoza sababu alifanyiwa mummyfication kwa taratibu za misri ya wakati huo. Hivyo hivyo kwa waliomfuatia kama akina Tuttkahmoon na wengine wengi. Issue ya kuzikwa na kuibuka uliisikia kwenye kijiwe gani cha wacheza draft?
 
Ha
Haya maarifa tunayapata kitabu mkuu nataka nikasome?
 
Ha

Haya maarifa tunayapata kitabu mkuu nataka nikasome?
Hakuna kitabu utakuja kupata maarifa Haya,hakuna scholars wala maprofessor waliosomea ancient civilizations code maana hakuna chuo kinasomesha historia ya high advanced civilizations ya kale na uwepo wa race tofauti na humanoid waliowahi kuishi Duniani hapo kale na kuacha Maajabu makubwa,

Only secret Societies ndio wana maarifa haya na baadhi ya Watu wachache wanaofanya utafiti binafsi,
Vile vile kuna makabila bado yanatuanza kumbukumbu za Haya maarifa kama Dogon,Wahindu wekundu,waperu,Amazonian,Wahindi, Mexican!

Kama unataka maarifa ya mwanzo anza kufuatilia Dogon tribe Wana hints kadhaa!
 
Ha

Haya maarifa tunayapata kitabu mkuu nataka nikasome?

Asante,kwahio itakuwa vigumu wengi kuijua hii elimu kama ni hivyo,wewe upo kwenye secret society au umefanya utafiti binafsi tu?
 
Asante,kwahio itakuwa vigumu wengi kuijua hii elimu kama ni hivyo,wewe upo kwenye secret society au umefanya utafiti binafsi tu?
Hii elimu Huko Ulaya na America imeanza kupamba moto,watu wengi wameanza kujifunza na kwenda field kabisa hasa watafiti binafsi na wanasayansi huru!
 
Ukidai alikuwa mweusi tii, hizo nywele pamoja na mfumo wa pua zinapingana na dhana yako.
 
Mbona hamtupi ushahidi wa kuwa huyo ndiyo Remesses II mwenyewe, kinyume chake mnatupigia stori tu.
Ushahidi wa nini, hizo picha, wanafanisha tu, Dunia ya wakati huo camera haikuwepo, enzi hizo maendeleo kuchora, ilikua anaeweza kuchora picha ya mtu kwa kumfanisha, basi hayo yalikua maendeleo makubwa sana.
 
Angekua ameungua angepoteza kutambulika, ila kufa maji watu wanatambulika vizuri tu.
 
Kwenye maelezo Yako umesema mwamba alikuwa mweusi tii....
Lakini mbona picha yake yaonekana kama mweupe....??? Kama unachanganya hivii....
 
Musa alikuwa myahudi wa dini ya kiyahudi. Alilelewa na farao muislam.kasome quraan usisumbue watu.

Quran unayosema akasome.. inasema Mtume Muhammad ndio muislamu wa kwanza.

Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Pia Quran 6: 163 inasema kuwa mtume Muhammad ndie Muislam wa kwanza.

Huku Musa ameishi miaka zaidi ya 2000 kabla ya Muhammad hajazaliwa na Quran haijashuka...

sasa hizo nguzo tano za uislamu Musa alikuwa anazifanyaje ? Kwenye kusali Musa alikuwa anatazama Kibra gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…