Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Verse ya Hashim Dogo kwenye ngoma ya Unique Sisters-Sikiliza [emoji91][emoji91]
 
Hashimu nliskia ulibadili akaunti kumbe ndo hii poa
 
Alishindanishwa na machipukizi kutoka nchi zipi za Africa?
Shindano lilifanyika mwaka gani?
Shindano lilifanyika nchi gani?
Tuzo hiyo inaitwaje?
Dogo huyo ana nyimbo ngapi?
Dogo huyo ana album ngapi?
Tutajie majina ya nyimbo zake.
Meneja wake ni nani?
Dogo yuko chini ya lebo gani?
Alianza muziki wa hip hop mwaka gani?
Ana umri gani tangu ameanza hip hop?
Amezaliwa mwaka gani?
Cosota inamtambua?
Basata inamtambua kwa maana ya usajili?
 
Kuna mwanamke mi ananipa kiwewe, yani mchana akikosa usiku anajihukumu mwenyewe,

Sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema kwakweli naona bora kuweka nanga Mapema.,,,

Nikweli jamaa Hana nyimbo nyingi ila alikua zaidi akifanya freestyles record zake nyingi ni freestyles Kama alikua na nyimbo basi hazikua hewani.

Alikua ana flow Kali mistari ya hatari wasanii wengi walipenda kuiga alichokua akifanya sijui angeendelea na mziki ingekuaje.

Kwangu Mimi ndie alikua Msanii mtamu kumsikiliza akiflow kuliko yeyote.
 
Nje ya mada

Hivi hao wanaacha kaxi zao za kuwapatia kipato wanaamua kuwa ustafhi swala tank..HIVI KIMAISHA WANAJIMUDU VIPI?? AU HUKO SWALA ANO WANALIPA

MAANA NILIMSHANGAA NAE SUMA LEE ILA SIKUWA JIBU

ANAE JUA ANISAIDIE
 
We mtoto hebu nenda shule ukajifunze kuandika kwanza!!!
 
Nje ya mada

Hivi hao wanaacha kaxi zao za kuwapatia kipato wanaamua kuwa ustafhi swala tank..HIVI KIMAISHA WANAJIMUDU VIPI?? AU HUKO SWALA ANO WANALIPA

MAANA NILIMSHANGAA NAE SUMA LEE ILA SIKUWA JIBU

ANAE JUA ANISAIDIE
Na hii ndio shida ya kuishi alikoolewa dada!
 
Hawa Jamaa wanaofanya ngoma chache halafu wanapotea wanatupa wakati mgumu sana kujua Ubora wao..

Hashim Dogo na huyu Roho 7 wanaleta ukakasi sana Japo kwa ngoma walizotoa wako njema mnooo
 
Hawa Jamaa wanaofanya ngoma chache halafu wanapotea wanatupa wakati mgumu sana kujua Ubora wao..

Hashim Dogo na huyu Roho 7 wanaleta ukakasi sana Japo kwa ngoma walizotoa wako njema mnooo
Haina haja ya kupata wakati mgumu. Hao uwezo wao si Mkubwa, walibahatisha tu
 
Hawa Jamaa wanaofanya ngoma chache halafu wanapotea wanatupa wakati mgumu sana kujua Ubora wao..

Hashim Dogo na huyu Roho 7 wanaleta ukakasi sana Japo kwa ngoma walizotoa wako njema mnooo
Roho 7 n mc wa kawaida sana ,watu wengi wanapenda beats za ngoma zake Ila kiuwezo na mfananisha na kina stamina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…