Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

Ha ha,
Braza kuna Wimbo nautafuta,
Waliimba Kwanza Unit ulikua wa Kiengereza lakini Chorus ya Kiswahili,
Uliitwa "Utaona".
Bugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap bado
 
Bugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap bado
Ndo hao hao walioimba ndio,
vipi unao huu wimbo
 
Hashim alitoa nyimbo moja tu iliyovuma...namfahamu huyu vzr tumekuwa pamoja maeneo ya Upanga alikuwa anakaa mtaa wa Lugalo kwny magorofa ya madaktari halaf akahamia Ilala
Ndugu una uhakika na hii taarifa?
 
Sawa nimekosea kusema hajui,ila duke wewe nakufahamu kitambo sana kweli umeona Hashim ni mwana hiphop bora Africa nzima,au ulikula vyombo kabla ya kupost hii! Mimi huwa naona Hashim ni msanii anayejijua yeye mwenyewe. Na kujijua kwake kukafanya akimbie game baada ya kuiona mbele yake mapema.
ila duke kweli alikula vyombo..huyo Jamaa hata roho 7 hamuwezi """
 
Huyo Hashim Dogo wenu agusi hata moto wa Balozi au Sugu leo mnampa cheo kikubwa kuliko uwezo wake ebooooo alafu mkiitwa wavuta bange mnamaindi
 
Bugs Malone na marehemu Zomba...Sijaisikia tena toka enzi hizo, Bugs alikuwa active Youtube recently anarap bado
...kama hujui unachofanya,hujui unapokwenda/fikiri kabla ya kutenda/vitabu vilishachomwa/iliandikwa haikusomwa
!
!
/Kama unabisha we Utaona!!
HARUFU unayo hii ngoma?
...RIP Zomba!
 
...kama hujui unachofanya,hujui unapokwenda/fikiri kabla ya kutenda/vitabu vilishachomwa/iliandikwa haikusomwa
!
!
/Kama unabisha we Utaona!!
HARUFU unayo hii ngoma?
...RIP Zomba!
Kama hujui unapotoka,
hujui unapokwenda,
fikiri kabla ya kutenda,
fanya unavyopenda,

iliandikwa haikusemwa, fanya mapema sasa nasema.
vitabu vimeshachomwa, sitarudia tena,
Na kama unajua we UTAONA.
 
Back
Top Bottom